Vita ya Werema, Kafulila yakolea
>Mvutano kati ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema na Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila umechukua sura mpya baada ya mwanasheria huyo kugoma kupatanishwa huku akitishia ‘kumshughulikia’ mbunge huyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Vita ya Sendeka, Muhongo yakolea bungeni
11 years ago
Uhuru NewspaperKafulila amchefua Werema
Anusurika kuchapwa makonde bungeni Sitta, Wasira waingilia kati kumwokoa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), jana alichafua hali ya hewa bungeni na kunusurika kuchapwa makonde kwa kumtolea kauli za kuudhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.
Pia Kafulila ametakiwa kukabidhi ushahidi alio nao kuhusiana na malipo yaliyofanywa kwa Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Werema nusura ampige Kafulila
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Kafulila awafyatua Muhongo, Werema
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amefichua ufisadi mkubwa wa dola za Marekani milioni 122, sawa na shilingi bilioni 200 akidai umefanywa na vigogo sita wa serikali. Aliwataja vigogo...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Jaji Werema ataka kumtwanga Kafulila
KASHFA ya ununuzi wa Kampuni ya IPTL na fedha za Escrow, jana nusura iharibu taswira ya Bunge baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema kutaka kumpiga Mbunge wa...
11 years ago
Mwananchi28 Jun
MVUTANO: Werema, Maswi, Kafulila ngoma nzito
11 years ago
BBCSwahili09 Apr
Matumaini ya kupatikana MH370 yakolea
10 years ago
Bongo Movies19 May
Bomu Jipya: Hii ni Vita ya Utamaduni, Ni Vita ya Kutawaliwa Kiakili
AWALI kuna wale waliolalamikia kuhusu maadili hasa pale filamu za kitanzania zilipozuiliwa na watayarishaji wetu wakashindwa kujenga hoja kwa kuuliza kwanini sinema zao zikitamka tu neno la Shoga wanaambiwa watoe lakini za kutoka nje Mashoga wanaonekana, hapa kuna maswali mengi sana.
1. Kwanini balozi wa Korea kwa niaba ya nchi yake alikuwa anatoa tamthilia za kikorea zionyeshwe ITV bure?
2. Kwanini serikali ya China inaingia gharama za kutafsiri tamthilia zao kwa kiswahili na kuzitoa...
10 years ago
VijimamboMakongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi
CHARLES Makongoro Nyerere (CMN) ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kutaka kuchaguliwa kuwania urais kupitia chama hicho mwaka huu. Raia Mwema lilifanya naye mahojiano wiki hii nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Endelea
-RAIA MWEMA: Kwanini wana CCM wanatakiwa wakuchague wewe uwe mgombea wao na si mwingine miongoni mwa wenzako 41 waliojitokeza kuwania nafasi hiyo?MAKONGORO: Mimi si...