Kafulila amchefua Werema
![](http://3.bp.blogspot.com/-9TKtzFGK_8Q/U6rwhJUxnEI/AAAAAAAABQk/sVf5aBlbJaI/s72-c/Kafulila.jpg)
Anusurika kuchapwa makonde bungeni
Sitta, Wasira waingilia kati kumwokoa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), jana alichafua hali ya hewa bungeni na kunusurika kuchapwa makonde kwa kumtolea kauli za kuudhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.
Pia Kafulila ametakiwa kukabidhi ushahidi alio nao kuhusiana na malipo yaliyofanywa kwa Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Jun
Vita ya Werema, Kafulila yakolea
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Kafulila awafyatua Muhongo, Werema
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amefichua ufisadi mkubwa wa dola za Marekani milioni 122, sawa na shilingi bilioni 200 akidai umefanywa na vigogo sita wa serikali. Aliwataja vigogo...
11 years ago
Mwananchi26 Jun
Werema nusura ampige Kafulila
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Jaji Werema ataka kumtwanga Kafulila
KASHFA ya ununuzi wa Kampuni ya IPTL na fedha za Escrow, jana nusura iharibu taswira ya Bunge baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema kutaka kumpiga Mbunge wa...
11 years ago
Mwananchi28 Jun
MVUTANO: Werema, Maswi, Kafulila ngoma nzito
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cwh76f0JjblvMRO8CJOGM1yIbdf4XdGfc*BP62brNkfEnYSFe2k0JaR8nd7Uo5a-9dloK1MvZEuTXrgylg*I62OaWtwZo4uu/FRONT.jpg?width=650)
DIAMOND AMCHEFUA WEMA
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Waziri amchefua Magufuli
*Aomba Watanzania wamtetee kwa uamuzi atakaochukua
Na Bakari Kimwanga, Muleba
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameahidi kushughulika na mmoja wa mawaziri aliyegawa ranchi za mifugo kiholela.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana, alipohutubia mikutano ya kampeni iliyofanyika katika miji ya Muleba na Kamachumu mkoani Kagera.
Alisema hawezi kukubali kuona wananchi wanaendelea kuteseka wakati watu fulani wanamiliki ranchi hizo, huku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCCfK3zrV0j*I6DTX3VQYjeVRgjFvkx8-62CGf6b-hS92eScXQ538lO5y7oDmZwPn2K8GwIb6HMnlMWNF5ZuLN6q/davina.jpg)
FUNDI NGUO AMCHEFUA DAVINA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cCUXdfhEw_c/XlU-6_TJYaI/AAAAAAALfWU/WTQSUL2lR-YPj9Tr1_ZLrfxPY55sWZ1ewCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
Mkandarasi amchefua waziri Mbalawa mkoani Njombe
![](https://1.bp.blogspot.com/-cCUXdfhEw_c/XlU-6_TJYaI/AAAAAAALfWU/WTQSUL2lR-YPj9Tr1_ZLrfxPY55sWZ1ewCLcBGAsYHQ/s640/0.jpg)
Waziri wa maji Prof.Makame Mbalawa ameagiza kuwekwa kizuizini msimamizi wa ujenzi wa mradi wa maji wa Igando Kijombe unaotekelezwa na kampuni ya STC JV YELL LMT wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe Erick Mlema kwa kushindwa kukamilisha mradi kwa wakati.
Waziri Mbalawa amesema mpaka sasa mradi umefikia asilimia 17 pekee huku wananchi wakilalamikia kero ya upatikanaji wa maji wilayani humo.
Mradi wa Igando- kijombe unatajwa kugharimu takribani billioni 12 na ulianza...