Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri amchefua Magufuli

g4*Aomba Watanzania wamtetee kwa uamuzi atakaochukua

 

Na Bakari Kimwanga, Muleba

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ameahidi kushughulika na mmoja wa mawaziri aliyegawa ranchi za mifugo kiholela.

Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti jana, alipohutubia mikutano ya kampeni iliyofanyika katika miji ya Muleba na Kamachumu mkoani Kagera.

Alisema hawezi kukubali kuona wananchi wanaendelea kuteseka wakati watu fulani wanamiliki ranchi hizo, huku...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Mkandarasi amchefua waziri Mbalawa mkoani Njombe

Na Amiri Kilagalila,Njombe
Waziri wa maji Prof.Makame Mbalawa ameagiza kuwekwa kizuizini msimamizi wa ujenzi wa mradi wa maji wa Igando Kijombe unaotekelezwa na kampuni ya  STC JV YELL LMT wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe Erick Mlema kwa kushindwa kukamilisha mradi kwa wakati.

Waziri Mbalawa  amesema mpaka sasa mradi umefikia asilimia 17 pekee huku wananchi wakilalamikia kero ya upatikanaji wa maji wilayani humo.

Mradi wa Igando- kijombe unatajwa kugharimu takribani billioni 12 na ulianza...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kafulila amchefua Werema



 Anusurika kuchapwa makonde bungeni  Sitta, Wasira waingilia kati kumwokoa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), jana alichafua hali ya hewa bungeni na kunusurika kuchapwa makonde kwa kumtolea kauli za kuudhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.

Pia Kafulila ametakiwa kukabidhi ushahidi alio nao kuhusiana na malipo yaliyofanywa kwa Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),...

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMCHEFUA WEMA

Stori:Mayasa Mariwata
KAULI ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwamba hawezi kuoa kamwe, inadaiwa kumchefua mwandani wake, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’, Amani limenyetishiwa. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi. Aliporejea Bongo kutoka Marekani juzikati,… ...

 

11 years ago

GPL

FUNDI NGUO AMCHEFUA DAVINA

STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amechefuliwa vibaya na fundi wa nguo kwa kumcheleweshea nguo ya sare na kumfanya ashindwe kuivaa kwenye shughuli ya msanii mwenzake, Vanitha Omari. Staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’. Akipiga stori na mwandishi wetu katika shughuli hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mawela Sinza, jijini Dar, Davina alisema...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AHUDHURIA MAHAFALI YA KUMI YA KIDATO CHA SITA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA CHATO, AAHIDI MAJENGO YA KAMBI YA MKANDARASI KUWA MALI YA SHULE YA MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mkoani Geita, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao. Wanafunzi wa kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari ya Chato Mkoani Geita wanaotarajiwa kuhitimu masomo yao mwezi ujao wakiimba wimbo maalum wa Shule hiyo katika Mahafali ya 10 shuleni hapo.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt....

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri Magufuli aingizwa mkenge

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa kigogo wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) ambaye hafanyi kazi tena kituoni hapo.

 

10 years ago

Mwananchi

John Magufuli: Waziri wa Ujenzi

Historia yake John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1959 huko wilayani Chato Mkoani Kagera (hivi sasa Chato ni wilaya ya mkoa mpya wa Geita) na atatimiza miaka 56 Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Sikupishana na Waziri Magufuli-Pinda

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema hakupishana maneno na Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, wala kuruhusu malori yenye uzito mkubwa kupita katika mizani bila utaratibu.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI JOHN MAGUFULI, NOMA

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Ujenzi, John Pombe Magufuli, wikiendi iliyopita alidhihirisha yeye si mtu wa kubabaika, badala yake anachapa kazi kulingana na kauli mbiu ya ari, nguvu na kasi zaidi. Jumapili iliyopita, wakati Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, akitangaza mabadiliko ya nafasi za mawaziri na manaibu wao kama Rais Jakaya Kikwete alivyoteua, Magufuli alikuwa ‘bize’ akikagua ujenzi wa Daraja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani