Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


John Magufuli: Waziri wa Ujenzi

Historia yake John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1959 huko wilayani Chato Mkoani Kagera (hivi sasa Chato ni wilaya ya mkoa mpya wa Geita) na atatimiza miaka 56 Oktoba mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI , AWAFUNDA MAMENEJA MIKOA WA TBA NCHINI

 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini (TBA), Arch. Elius Mwakalinga, akisoma taarifa ya mkutano wa Mameneja mikoa wa TBA nchini uliofanyika jijini Dar es salaam, katikati kulia ni Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli, akisikiliza kwa makini taarifa hiyo.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe (kulia), akifafanua jambo katika mkutano wa Mameneja wa mikoa wa TBA nchini, katikati ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli, (kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi wa TBA Dkt. Edward...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI MHESHIMIWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI (Mb) KUZURU MIKOA YA MWANZA NA MARA

Wizara ya Ujenzi napenda kutoa taarifa ka umma kuwa Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) anatarajia kufanya ziara ya kukagua miradi  mbaimbali ya Maendeleo katika  mkoa wa Mwanza na Mara.Mheshimiwa Waziri Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Mwanza tarehe 06 Julai ambapo atakagua mradi wa Ujenzi wa barabara ya Usagara – Kisesa (by pass) yenye urefu wa km. 16.7 inayojenga kwa kiwango cha lami.

Siku inayofata tarehe 07 Julai, Mheshimiwa Waziri ataelekea mkoani Mara kukagua...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA TANROADS MJINI MOROGORO

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Baraza la Wafanyakazi wa TANROADS mkoani Morogoro. Waziri Magufuli amewapongeza TANROADS kwa utendaji kazi wao mzuri ujenzi wa Barabara nchini. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara TANROADS Eng. Patrick Mfugale akisoma risala kwa Mgeni Rasmi Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli.TANROADS imepata TUZO ya mfanyakazi bora na mwajiri bora kutoka TAMICO. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa ameshikana mikono na Mtendaji...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA UJENZI DKT JOHN MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KAMPUNI YA UKANDARASI WA BARABARA YA DOT SERVICES YA NCHINI UGANDA

Waziri wa Ujenzi ,Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mkuu wa wilaya ya Same ,Herman Kapufi wakati akifanya ukaguzi wa barabara kutoka Korogwe/Mkumbara hadi Same yenye urefu wa  Kilomita 172, inayojengwa kwa fedha za mkopo kutoka benki ya dunia (WB). Waziri wa Ujenzi Dkt ,John Magufuli akizungumza na wakandarasi kutoka kampuni ya Dot Services ya nchini Uganda… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli Azindua barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiweka jiwe la msingi kuashiria ufunguzi wa barabara ya Igawa-Rujewa KM 9.8 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na viongozi wengine wa Wilaya ya Mbarali. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara hiyo. Wengine katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na viongozi wengine. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini TANROADS Eng. Patrick...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameusifu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI JOHN MAGUFULI, NOMA

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Ujenzi, John Pombe Magufuli, wikiendi iliyopita alidhihirisha yeye si mtu wa kubabaika, badala yake anachapa kazi kulingana na kauli mbiu ya ari, nguvu na kasi zaidi. Jumapili iliyopita, wakati Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, akitangaza mabadiliko ya nafasi za mawaziri na manaibu wao kama Rais Jakaya Kikwete alivyoteua, Magufuli alikuwa ‘bize’ akikagua ujenzi wa Daraja...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli amtishwa zigo waziri wa ujenzi ajaye

NA BAKARI KIMWANGA, KATAVI

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema ikiwa atafanikiwa kuchaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataunda Baraza la Mawaziri ambalo litatakiwa kufanya kazi zaidi yake.
Pia ametangaza kumpiga kitanzi Waziri wa Ujenzi atakayemteua alisema kuwa atatakiwa kwenda na kasi katika utendaji kuliko yeye.

Amesema ili kuhakikisha maendeleo ya kweli yanapatikana Serikali ya awamu ya tano chini yake, itakuwa na kazi ya kupeleka maendeleo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani