Magufuli amtishwa zigo waziri wa ujenzi ajaye
NA BAKARI KIMWANGA, KATAVI
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema ikiwa atafanikiwa kuchaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataunda Baraza la Mawaziri ambalo litatakiwa kufanya kazi zaidi yake.
Pia ametangaza kumpiga kitanzi Waziri wa Ujenzi atakayemteua alisema kuwa atatakiwa kwenda na kasi katika utendaji kuliko yeye.
Amesema ili kuhakikisha maendeleo ya kweli yanapatikana Serikali ya awamu ya tano chini yake, itakuwa na kazi ya kupeleka maendeleo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jun
Zigo la JK Kigoma kwa rais ajaye
9 years ago
Vijimambo02 Oct
Ahadi 5 za Kikwete zigo kwa rais ajaye.
![](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/_Df_771Rw3iji6j_Al2d3yU4pt2T1zzbea2soH3hk8dHlIt3iFonJDANF3fAHm3RsiTm01mSg-goe8pdPj_cq-o57Fm-R0DeWuzPQdY5R_G6xw=s0-d-e1-ft#http://www.ippmedia.com/media/picture/large/JK-02Oct2015.png)
Rais Jakaya Kikwete.
Wakati zikiwa zimebaki siku 22 kuanzia leo kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, imebainika kuwa Rais ajaye atakuwa na mzigo mzito wa kutekeleza ahadi kadhaa zilizowahi kutolewa na serikali ya Rais Jakaya Kikwete anayetarajiwa kumaliza muda wake baada ya uchaguzi huo utakaompata mrithi wake.Uchunguzi uliofanywa na Nipashe umebaini kuwa, licha ya mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali katika kipindi cha miaka 10 ya serikali iliyopo madarakani, bado kuna ahadi...
11 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...
10 years ago
Mwananchi09 May
John Magufuli: Waziri wa Ujenzi
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MwQy2AXyT58/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo27 Jan
WAZIRI DKT. MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA BARABARA ZA PETE JIJINI DAR ES SALAAM.
Barabara hizo zilizowekewa mawe ya msingi ni pamoja na ile ya Kinyerezi –Kifuru hadi Mbezi Mwisho yenye urefu wa kilometa 14.0, Kigogo-Tabata Dampo yenye urefu wa kilometa 1.6, na Kimara Baruti-Msewe hadi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 2.6.
Barabara nyingine ni ile ya External –Kilungure hadi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sM3EgebYs_s/VQLDOUGlH8I/AAAAAAAHKDg/UnJoInfBhm4/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI , AWAFUNDA MAMENEJA MIKOA WA TBA NCHINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-sM3EgebYs_s/VQLDOUGlH8I/AAAAAAAHKDg/UnJoInfBhm4/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-zhMzfiW14gI/VQLDOUnL_5I/AAAAAAAHKDE/F2GU9cEyD84/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Zigo la Z’bar ni la Magufuli au Kikwete
9 years ago
Mtanzania30 Dec
CUF wamtwisha zigo Magufuli
NA MWANDISHI WETU
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kitaendelea kusimamia na kulinda chaguo la wananchi katika Uchaguzi wa Rais wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Pamoja na hali hiyo, CUF imesema bado inatoa nafasi kwa Rais Dk. John Magufuli kutokana na jitihada anazozifanya katika kuupatia ufumbuzi wa haraka mgogoro wa Uchaguzi wa Zanzibar ambao matokeo yake yamefutwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini...