Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ahadi 5 za Kikwete zigo kwa rais ajaye.


Rais Jakaya Kikwete.
Wakati zikiwa zimebaki siku 22 kuanzia leo kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, imebainika kuwa Rais ajaye atakuwa na mzigo mzito wa kutekeleza ahadi kadhaa zilizowahi kutolewa na serikali ya Rais Jakaya Kikwete anayetarajiwa kumaliza muda wake baada ya uchaguzi huo utakaompata mrithi wake.Uchunguzi uliofanywa na Nipashe umebaini kuwa, licha ya mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali katika kipindi cha miaka 10 ya serikali iliyopo madarakani, bado kuna ahadi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Zigo la JK Kigoma kwa rais ajaye

Mkoa wa Kigoma upo Magharibi ya Tanzania ikiwa ni mojawapo ya mikoa iliyobatizwa jina la ‘pembezoni’ kutokana na umaskini unaowakabili wakazi wake walio wengi, lakini pia kwa miaka mingi umekuwa na changamoto ya miundombinu mibovu ya barabara, usalama wa raia kutokana na ujambazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete: Nimetimiza ahadi kwa asilimia 80

Rais Jakaya Kikwete amesema zaidi ya asilimia 80 ya ahadi alizotoa wakati anaingia madarakani zimetimizwa na zilizobakia atazimaliza kabla ya kuondoka madarakani.

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli amtishwa zigo waziri wa ujenzi ajaye

NA BAKARI KIMWANGA, KATAVI

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema ikiwa atafanikiwa kuchaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataunda Baraza la Mawaziri ambalo litatakiwa kufanya kazi zaidi yake.
Pia ametangaza kumpiga kitanzi Waziri wa Ujenzi atakayemteua alisema kuwa atatakiwa kwenda na kasi katika utendaji kuliko yeye.

Amesema ili kuhakikisha maendeleo ya kweli yanapatikana Serikali ya awamu ya tano chini yake, itakuwa na kazi ya kupeleka maendeleo...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA HATI ZA AHADI YA UADILIFU KWA VIONGOZI, WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI IKULU JIJINI DAR ES ES SALAAM LEO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi,...

 

10 years ago

Mwananchi

Wahoji utekelezaji wa ahadi ya Rais Kikwete

Wadau wa maendeleo mkoani Iringa, wameitaka Serikali itekeleza ahadi ya Rais Jakaya Kikwete ya kutengeneza Barabara ya Iringa-Msembe (Hifadhi ya Taifa ya Ruaha) yenye urefu wa kilomita 114 kwa kiwango cha lami ikiwa ni jitihada za kukuza uchumi wa mikoa ya Kusini.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini rais ajaye awe mwanamke

Wanaharakati nchini wamesema rais ajaye anaweza kuwa mwanamke kutokana na sababu kadhaa, ikiwamo wingi na hamasa waliyonayo wanawake katika upigaji kura.

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK anazungumzia ujana rais ajaye kwa matendo au sura?

RAIS Jakaya Kikwete, siku chache zilizopita alikaririwa na vyombo vya habari kutoa kauli iliyotafsiriwa kwamba imewabeba vijana katika kinyang’anyiro kijacho cha kumtafuta rais wa awamu ya tano ya uongozi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua kizito cha kukuza uchumi kwa Rais ajaye

Mengi yamezungumzwa juu ya hali ya uchumi wa Tanzania na mustakabali wake wakati huu wa kampeni.

 

11 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa E! Entetainment TV ya Marekani athibitisha kuja Tanzania, ahadi ya Rais Kikwete yatimia

Ile ahadi aliyoitoa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete hivi karibuni ya kuwaleta baadhi ya watu muhimu wa sanaa duniani kwaajili ya kuzungumza na wasanii wa Tanzania inaelekea kutimia. Miongoni mwa majina aliyoyataja Rais kuwa watakuja kuzungumza na wasanii wa Tanzania ni pamoja na mtangazaji wa E! Entetainment TV ya Marekani Terrence […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani