CUF wamtwisha zigo Magufuli
NA MWANDISHI WETU
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kitaendelea kusimamia na kulinda chaguo la wananchi katika Uchaguzi wa Rais wa Zanzibar uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Pamoja na hali hiyo, CUF imesema bado inatoa nafasi kwa Rais Dk. John Magufuli kutokana na jitihada anazozifanya katika kuupatia ufumbuzi wa haraka mgogoro wa Uchaguzi wa Zanzibar ambao matokeo yake yamefutwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima11 Sep
UKAWA wamtwisha zigo JK
SIKU mbili baada ya mazunguzo baina Rais Jakaya Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kukubaliana Bunge maalumu lisitishwe Oktoba 4 mwaka huu, Umoja wa Katiba ya Wananchi...
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Zigo la Z’bar ni la Magufuli au Kikwete
9 years ago
Mtanzania25 Aug
Magufuli amtishwa zigo waziri wa ujenzi ajaye
NA BAKARI KIMWANGA, KATAVI
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema ikiwa atafanikiwa kuchaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano ataunda Baraza la Mawaziri ambalo litatakiwa kufanya kazi zaidi yake.
Pia ametangaza kumpiga kitanzi Waziri wa Ujenzi atakayemteua alisema kuwa atatakiwa kwenda na kasi katika utendaji kuliko yeye.
Amesema ili kuhakikisha maendeleo ya kweli yanapatikana Serikali ya awamu ya tano chini yake, itakuwa na kazi ya kupeleka maendeleo...
9 years ago
Habarileo30 Dec
CUF yasema ina imani na Magufuli
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimewataka Wazanzibari kuwa watulivu na kumpa nafasi zaidi Rais John Magufuli kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa Zanzibar, ambao umetokana na kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-oWawFESssmo/Xl41M0RUILI/AAAAAAACz9o/PSVbeSo_WFszrfNxsbBienruy0IQEtxZwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA JAMES MBATIA NCCRA MAGEUZI NA PROFESA IBRAHIM LIPUMBA CUF IKULU DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-oWawFESssmo/Xl41M0RUILI/AAAAAAACz9o/PSVbeSo_WFszrfNxsbBienruy0IQEtxZwCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-9FsEyEZyHGI/Xl41VXrW3zI/AAAAAAACz9w/IDic8dm5eukTX4ptXlTPrYWPeQD-4yIsACLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-m7-TxEbYDfo/Xl41Uz4lY-I/AAAAAAACz9s/VzUfNV6Qm7Q5VyB1RlgDMNuEHkKIMbY_QCLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
10 years ago
VijimamboLIPUMBA NDIE MGOMBEA PEKEE CUF ATAKAE WAKILISHA CUF KUGOMBEA URAIS UKAWA
![](http://www.habari247.co.tz/site/wp-content/uploads/2014/12/lipumba.jpg)
10 years ago
Mwananchi02 May
JK amtwisha zigo Rais mpya
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
RC Kandoro ajitwika zigo Sokoine
HATUA ya Chama cha Soka mkoani hapa (MREFA), kwa kushirikina na wamiliki wa Uwanja wa Sokoine kushindwa kuukarabati umeishtua Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa na kuamua kuingilia kati kwa...
9 years ago
Mtanzania12 Nov
Vigogo watwishwa zigo Z’bar
*Wamo Dk. Salmin Amour, Mwinyi, Amani Karume
*Zitto amtaka Magufuli atangaze hali ya hatari
*Jumuiya ya Madola yaingilia kati
Na Waandishi Wetu, Zanzibar/Dar
JUHUDI za kusaka suluhu kwa ajili ya kutatua mgogoro wa kisiasa wa Zanzibar zinaendelea, baada ya vigogo kadhaa wa kitaifa na kimataifa kuongezwa katika timu ya mazungumzo.
Taarifa kutoka visiwani huko zinasema, katika kufanikisha mchakato huo imeundwa kamati maalumu inayowashirikisha marais wote wastaafu wa Zanzibar kwa lengo la...