Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MVUTANO: Werema, Maswi, Kafulila ngoma nzito

>Vita kati ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema na Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila imeingia katika sura mpya baada ya mbunge huyo, kuwaeleza wapigakura wake kuwa endapo litatokea jambo lolote baya kwake, mhusika namba moja ni mwanasheria huyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wiki ya Werema, Muhongo, Maswi

MACHO na masikio wiki hii yataelekezwa zaidi mjini Dodoma, kujua hatma ya watuhumiwa wanaodaiwa kuchota zaidi ya sh bilioni 300, zilizohifadhiwa kwenye Akaunti Maalum ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shida si Jaji Werema, Maswi bali JK

MATUSI, vitisho na kauli za rejereja zilizotolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliachim Maswi dhidi ya wabunge David...

 

10 years ago

Vijimambo

Werema,Maswi,Mboma wapumulia mashine

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia), akiwakabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe ripoti ya Uchunguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow zilizohifadhiwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT).
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) inatarajia kuwahoji Mwanasheria Mkuu (AG), Jaji Frederick...

 

10 years ago

Vijimambo

Ushiriki wa Werema,Maswi IPTL huu hapa

Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Fredrick Werema.
Joto la uchunguzi wa hamisho la zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme baina ya Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) likizidi kupanda, taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kuwa kazi itakuwa nzito kwa wakuu wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Wizara ya Nishati na Madini na Benki Kuu...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kafulila amchefua Werema



 Anusurika kuchapwa makonde bungeni  Sitta, Wasira waingilia kati kumwokoa
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), jana alichafua hali ya hewa bungeni na kunusurika kuchapwa makonde kwa kumtolea kauli za kuudhi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema.

Pia Kafulila ametakiwa kukabidhi ushahidi alio nao kuhusiana na malipo yaliyofanywa kwa Kampuni ya IPTL kupitia akaunti ya Escrow kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),...

 

11 years ago

Mwananchi

Vita ya Werema, Kafulila yakolea

>Mvutano kati ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema na Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila umechukua sura mpya baada ya mwanasheria huyo kugoma kupatanishwa huku akitishia ‘kumshughulikia’ mbunge huyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Werema nusura ampige Kafulila

Kama siyo kuzuiwa na mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema jana angezua tafrani bungeni kutokana na kitendo chake cha kutaka kumpiga Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kafulila awafyatua Muhongo, Werema

MBUNGE wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amefichua ufisadi mkubwa wa dola za Marekani milioni 122, sawa na shilingi bilioni 200 akidai umefanywa na vigogo sita wa serikali. Aliwataja vigogo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Werema ataka kumtwanga Kafulila

KASHFA ya ununuzi wa Kampuni ya IPTL na fedha za Escrow, jana nusura iharibu taswira ya Bunge baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema kutaka kumpiga Mbunge wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani