Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sinema ya Maliasili yatua bungeni

SERIKALI imebanwa itoe ufafanuzi wa utata uliojitokeza katika Wizara ya Maliasili na Utalii, baada ya Katibu Mkuu, Maimuna Tarishi kutengua uamuzi wa waziri wake, Lazaro Nyalandu na kuwarejesha kazini vigogo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Vita ya urais yatua bungeni

Mh.-Stephen-WassiraNa Maregesi Paul, Dodoma

VITA ya urais imetua bungeni, baada ya mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (CCM), kuwatahadharisha Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wasira, kwamba harakati zao za kugombea urais hazitafanikiwa kama watashindwa kutatua kero za wananchi.
Akichangia taarifa ya utekelezaji wa kazi za Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kwa kipindi cha mwaka 2014 mjini Dodoma jana, Lugola alisema kama mawaziri hao watataka...

 

10 years ago

Habarileo

Miswada 7 mipya ya sheria yatua bungeni

SERIKALI imewasilisha bungeni miswada sita mipya ambayo imesomwa jana kwa mara ya kwanza.

 

10 years ago

Habarileo

Maliasili waagizwa kupeleka ripoti bungeni

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imeiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa amri ya Mahakama ya kutaka hoteli zote katika mbuga za wanyama za taifa kulipa ushuru wa kitanda.

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA MALIASILI WATAKIWA KUHAMISHIA OFISI KATIKA MAENEO YA HIFADHI ILI KULINDA MALIASILI


 Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangala(kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kulia) na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyapori(TAWA), Wakala wa Huduma za Mistu Tanzania (TFS) Kanda ya Magharibi na Hifadhi za Taifa(TANAPA) jana mara baada ya ziara yake ya kikazi Mkoani humo.Waziri wa Maliasili na Utalii...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sinema ya Okwi gumzo

KITENDO cha mshambuliaji wa kimataifa Emmanuel Okwi wa Ugganda, kuikacha ghafla timu yake ya Yanga na kurejea Simba, kumezua gumzo kubwa kila kona kwa wapenzi wa soka nchini. Wakati baadhi...

 

11 years ago

GPL

SINEMA ZA KIBONGO LINI ZITABADILIKA?

Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi. KWENU,
Watayarishaji wa sinema za Kibongo. Hongereni sana na kazi. Mimi nipo sawa na mishe zangu zinaendelea vyema kabisa. Leo nimewakumbuka kwa barua kwa lengo la kuwekana sawa kidogo.
Ni kweli kuna tofauti kubwa sana katika sinema zetu za sasa na zile za miaka mitano iliyopita lakini kiukweli bado kuna changamoto nyingi.  Kuna makosa mengi madogomadogo ambayo yanaachwa na yanaweza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sony yasitisha utoaji Sinema

Kampuni ya Sony imetangaza kusitisha mpango wake wa awali wa kutaka kutoa na kusambaza sinema dhidi ya Korea Kaskazini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani