Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIASA: Vita ya urais CCM nje nje

>Wakati joto la urais likizidi kupanda ndani ya CCM kutokana na hofu ya baadhi ya majina mazito ya wagombea wa nafasi hiyo kukatwa kwa mizengwe, vita vya wagombea sasa ni dhahiri baada ya mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM kusema hakuna mtu atakayekatwa bila ya sababu za msingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Vita dhidi ya waingizaji wa filamu ‘feki’ za nje nchini isihusishwe na siasa – JB

Ikiwa ni siku moja toka biashara ya filamu ‘feki’ za nje zipigwe marufuku mpaka pale wafanyabiashara wa filamu hizo watakapokamilisha taratibu za ulipaji wa kodi, mengi yameendelea kuibuka, ikiwa ni pamoja na wasanii ambao walihusika kwenye kampeni hiyo kuambiwa wanatumika kisisasa.

Jacob Stephan ‘JB’ akiwa na mashabiki wake wa filamu Kariakoo jijini Dar es salaam

Wasanii hao wakiongozwa na JB, Jumatano hii waliungana na ofisi ya Mkoa wa Dar es salaam kufanya opesheni hiyo ndani ya soko la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kingunge amdhamini Lowassa, asema mgombea urais wa CCM lazima akubalike na makundi yote, ndani na nje ya chama

Lowassa_Ilala

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungian wananchi wakati akiwasili ofisi za CCM kata ya Mchikichini, Ilala jijini Dar es Salaam, kutafuta wadhamini. (Picha na K-VIS MEDIA).

Kingunge udhamini

Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombali Mwiru, (kushoto), akijaza fomu za kumdhamini Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Juni 27, 2015, wakati Mh. Lowassa, alipotua jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

GPL

VITA YA WABUNGE WAREMBO, SIRI NJE

Stori: Mwandishi Wetu
IMEFICHUKA! Madai ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Geita, Vicky Paschal Kamata kuwatumia meseji za kashfa wabunge wenzake, Lucy Thomas Mayenga (CCM) na Catherine Valentine Magige (UVCCM)Mkoa wa Arusha sasa mambo hadharani. Mbunge wa CCM kupitia kadi ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Mkoa wa Arusha, Catherine Valentine Magige . Kwa mujibu wa chanzo chetu, wabunge hao warembo wako katika vita baridi...

 

10 years ago

Bongo5

Ch*chu nje nje: Huddah apost picha za aibu kwenye Instagram!

Huddah Monroe anafahamika kwa maisha yake controversial hivyo si jambo la ajabu kwa followers wake wa Instagram kumuona akila bata kwenye beach za Ulaya huku akiwa na nguo inayoonesha nipples zake! Jionee mwenyewe! Nipples nje nje! Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose […]

 

10 years ago

Bongo5

Mariah Carey — kufuli nje nje kwenye show ya China (Picha)

Ni hivi karibuni tu aliachana na mume wake, Nick Cannon baada ya kuishi kwa miaka sita lakini Mariah Carey hajataka kuruhusu matatizo yake binafsi yaathiri muziki wake na ndio maana yupo kwenye ziara barani Asia. Muimbaji huyo mwenye miaka 44 Jumapili hii alikuwa na show huko Chengdu katika jimbo la Sichuan, China na kuwapa si […]

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli, Lowassa nani atatufaa kwa siasa za nje?

“Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. Walimuondoa madarakani rais Saddam, hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!”.Sikuamini masikio yangu kwamba haya ni maneno yaliyotoka kinywani mwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli.

 

10 years ago

Mwananchi

MAISHA: Ngono, bangi ‘nje nje’ mgodini Ihanzutwa-2

>Maisha nje ya shughuli za uchimbaji wa madini katika eneo hili yamegubikwa na vitendo vya uhalifu vikiwamo uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya pamoja na biashara ya ngono. Sasa endelea…

 

10 years ago

GPL

MUHIMBILI VIFO NJE NJE KISA DAWA HAKUNA

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’I
NATISHA! Uhaba mkubwa wa madawa, ongezeko la ada ya kitanda na chakula katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, umesababisha watu wengi kupoteza maisha kufuatia wagonjwa kukosa huduma na hivyo kurejea majumbani mwao. Baadhi ya wagonjwa wakiwa katika moja ya wodi za Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili umebaini kuwa baada ya Bohari Kuu ya Madawa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani