Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli, Lowassa nani atatufaa kwa siasa za nje?

“Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. Walimuondoa madarakani rais Saddam, hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!”.Sikuamini masikio yangu kwamba haya ni maneno yaliyotoka kinywani mwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Dk Suzan Kolimba – Naibu Waziri Mambo ya Nje

Dk Suzan Kolimba ndiye Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli, yeye hakuwa mbunge wa kuchaguliwa wala wa viti maalumu, kwa hiyo uteuzi wake katika ngazi ya unaibu waziri unamaanisha moja kwa moja kuwa Rais ameshamteua kuwa mbunge.

 

10 years ago

Mwananchi

SIASA: Vita ya urais CCM nje nje

>Wakati joto la urais likizidi kupanda ndani ya CCM kutokana na hofu ya baadhi ya majina mazito ya wagombea wa nafasi hiyo kukatwa kwa mizengwe, vita vya wagombea sasa ni dhahiri baada ya mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM kusema hakuna mtu atakayekatwa bila ya sababu za msingi.

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Nani kawaroga vijana wetu wanaoshiriki siasa?

>Mazingira yamebadilika na hadhira ya kisiasa imechukua mwelekeo mpya kisiwani Zanzibar.

 

9 years ago

Vijimambo

RATIBA YA LOWASSA MTIHANI KWA DK MAGUFULI


Ratiba za kampeni za wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoonekana kuchuana vikali, Edward Lowassa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeibua mgongano.Hali hiyo imelalamikiwa na CCM ambayo imeitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwamba imeshirikiana na Chadema kupanga njama hizo.Kufuatia hali hiyo, jana Nec iliingilia kati na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Siasa za Kenya: Fukuto ndani ya chama cha Jubilee, nani anayelengwa?

Duru zinaeleza kuwa kuna mazungumzo yanayoendelea kati ya chama cha Jubilee na vyama vya upizani kuunda muungano, kunani?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yaliyojiri ndani na nje ya dakika 90 za Nani Mtani Jembe U/Taifa

SIKU 75 za kampeni ya aina yake iliyopewa jina la Nani Mtani Jembe, iliyoratibiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ikihusisha zaidi mashabiki wa klabu mbili za Simba na Yanga...

 

9 years ago

Vijimambo

Raila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa


Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.....Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA VS MEMBE NANI MBABE?

Na Erick Evarist
Zikiwa zimebaki siku  218 kufikia Oktoba 20, siku ya uchaguzi mkuu wa Rais na Wabunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mgombea wa urais kupitia chama hicho bado ni kitendawili. Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Ngoyai Lowassa. Kitendo cha CCM kuchelewesha kupiga kipyenga cha kuanza kwa mbio hizo, kimepandisha homa kali ya uchaguzi miongoni wa Watanania, huku kambi za waonesha nia mbalimbali zikiendelea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani