Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RATIBA YA LOWASSA MTIHANI KWA DK MAGUFULI


Ratiba za kampeni za wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoonekana kuchuana vikali, Edward Lowassa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeibua mgongano.Hali hiyo imelalamikiwa na CCM ambayo imeitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwamba imeshirikiana na Chadema kupanga njama hizo.Kufuatia hali hiyo, jana Nec iliingilia kati na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli ana mtihani ndani ya CCM

CCM imevuka vikwazo vyote katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika Oktoba, lakini bado haijamaliza kazi. Kazi ya kutetea utawala wake ndiyo pekee iliyomalizika, lakini imeanza kazi ya kuhakikisha inautetea katika uchaguzi ujao.

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Mwananchi

Magufuli, Lowassa nani atatufaa kwa siasa za nje?

“Msifanye mabadiliko kwa pupa kama watu wa Libya. Walimuondoa madarakani rais Saddam, hapana rais Gaddafi maana Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!”.Sikuamini masikio yangu kwamba haya ni maneno yaliyotoka kinywani mwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli.

 

10 years ago

Vijimambo

Raila Odinga Ampongeza Magufuli, Atoa Ushauri Kwa Lowassa


Waziri Mkuu wa zamani Kenya Raila Odinga amempongeza John Magufuli baada yake kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais Tanzania.Aidha, amemshauri mgombea wa upinzani Edward Lowassa Kuwa Kama Hajakubaliana na Matokeo basi Aende Mahakama kushtaki Kama yeye Alivyofanya wakati akigombea Urais Kenya na Kushindwa na Kenyatta.....Quote: What we have, what we wish we had - ambitions fulfilled, ambitions disappointed, investments won, investments lost, elections won, elections lost - these things may...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKADIRIO YA AHADI 10 KUBWA ZILIZOTOLEWA NA MAGUFULI NA LOWASSA KWA WAPIGA KURA

Huku zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya kufikiwa kwa siku ya uchaguzi mkuu Oktoba 25, wagombea urais wanaochuana kwa karibu kutokana na wingi wa watu wanaojitokeza katika kampeni zao, Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wanaendelea kutoa ahadi nzito kadhaa kwa wapiga kura.

Kadiri inavyoonekana, ahadi hizo zikitekelezwa kwa asilimia 100, zitafanya muujiza kwa kuibadili Tanzania kutoka katika hali duni ya upatikanaji wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Mitt Romney ; Gavana wa Marekani aliyetoa hotuba darasa kwa magufuli na Lowassa.

mitt romneyNa Michael Maurus kwa msaada wa mitandao

GAVANA wa 70 wa Marekani, Mitt Romney, aliwahi kutoa hotuba ya aina yake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo mwaka 2012, ambayo hadi leo imebaki kuwa darasa tosha kwa wanaojitokeza kuwania uongozi.

Kwa hapa Tanzania, hotuba hiyo inaweza ikawa somo kwa wale wote waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kama John Maguli, Edward Lowassa, Anna Mghwira na wengineo wanaowania urais.

Wakati Magufuli akiwania nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani