Dk Magufuli ana mtihani ndani ya CCM
CCM imevuka vikwazo vyote katika Uchaguzi Mkuu uliomalizika Oktoba, lakini bado haijamaliza kazi. Kazi ya kutetea utawala wake ndiyo pekee iliyomalizika, lakini imeanza kazi ya kuhakikisha inautetea katika uchaguzi ujao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Rodgers wa Liverpool aambiwa ana mtihani
9 years ago
VijimamboMAGUFULI KAMA AKICHAGULIWA KUPAMBANA NA MAFISADI NDANI YA CCM
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mafisadi wamo hadi ndani ya chama chake na ndiyo maana baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wengi wao wameanza kuweweseka kutokana na hofu kubwa waliyo nayo dhidi yake.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli alikiri kuwa chama chake kiliwalea walarushwa na mafisadi kwa muda mrefu na ndiyo maana baadhi ya watu...
9 years ago
VijimamboRATIBA YA LOWASSA MTIHANI KWA DK MAGUFULI
Ratiba za kampeni za wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaoonekana kuchuana vikali, Edward Lowassa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Dk. John Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zimeibua mgongano.Hali hiyo imelalamikiwa na CCM ambayo imeitupia lawama Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwamba imeshirikiana na Chadema kupanga njama hizo.Kufuatia hali hiyo, jana Nec iliingilia kati na...
5 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...
9 years ago
Bongo521 Dec
Ommy Dimpoz ana nyimbo za albamu tatu ndani – Meneja
Ommy Dimpoz ana nyimbo nyingi ndani zinazoweza kufikisha takriban albamu tatu.
Akizungumza na Bongo5 Jumamosi iliyopita kwenye uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya, Achia Body, meneja wake, Mubenga, alisema mpaka sasa tayari wamesharekodi nyimbo nyingi ambazo zinasubiri muda wake tu.
“Sisi hatupaniki, tunaangalia target zetu kwenye muziki,” alisema. “Tunajiuliza sasa hivi inafaa kutoa ngoma? Kwa sababu ngoma tunazo, Ommy ana nyimbo kama albamu tatu, zingine hadi mimi nimeshazizoea naziona....
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Magufuli ana nguvu gani Zanzibar?
KUNA msomaji wangu mmoja ambaye kwa muda mrefu nikifikiri ni mwanachuoni au, pengine, mhamiaji tu
Ahmed Rajab
10 years ago
MichuziMDAU PALLA ANA KWA ANA NA RAIS MSTAAF BENJAMINI MKAPA
9 years ago
MichuziANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI
5 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM