Rodgers wa Liverpool aambiwa ana mtihani
Meneja wa klabu ya soka ya Liverpool Brendan Rodgers atakua na siku kumi ngumu za mtihani wa kibarua chake katika timu hiyo, hayo yamesemwa na mlinzi wa zamani wa timu hiyo Mark Lawrenson.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Brendan Rodgers afukuzwa Liverpool
10 years ago
BBCSwahili25 May
Brendan Rodgers kuondoka Liverpool?
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Rodgers''Liverpool itamaliza ya pili''
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Rodgers ainyima taji Liverpool
10 years ago
BBCSwahili09 Nov
B Rodgers: Motisha wa Liverpool umeshuka
10 years ago
TheCitizen16 Feb
Liverpool now clicking into gear, says Rodgers
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Dk Magufuli ana mtihani ndani ya CCM
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Rodgers alia na wabaya wake Liverpool
LIVERPOOL, ENGLAND
KOCHA wa klabu ya Liverpool, Brendan Rodgers, amesema kuwa kuna wabaya wake katika klabu hiyo ambao wanatamani aondoke, lakini anaamini ataendelea kuitumikia timu hiyo kwa muda mrefu.
Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya katika michuano ya Ligi Kuu msimu huu, lakini mchezo ambao ulipigwa kwenye Uwanja wa Anfield mwishoni mwa wiki iliyopita, Liverpool ilifanikiwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa na kuifanya klabu hiyo kushika nafasi ya nane katika msimamo wa...
9 years ago
Bongo505 Oct
Liverpool yamfukuza kazi kocha wao Brendan Rodgers