MAGUFULI KAMA AKICHAGULIWA KUPAMBANA NA MAFISADI NDANI YA CCM
![](http://img.youtube.com/vi/S3fB1lsSZak/default.jpg)
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mafisadi wamo hadi ndani ya chama chake na ndiyo maana baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wengi wao wameanza kuweweseka kutokana na hofu kubwa waliyo nayo dhidi yake.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli alikiri kuwa chama chake kiliwalea walarushwa na mafisadi kwa muda mrefu na ndiyo maana baadhi ya watu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Magufuli: Mafisadi wamenikimbia CCM
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kutokana na usafi wake, wanachama wa chama hicho wasio wasafi walipoona ameteuliwa kugombea nafasi hiyo, wamehama chama hicho kwa hofu ya kushughulikiwa.
Alisema kutokana na yeye kutokutumia fedha katika mchakato wa kuwania kuteuliwa na CCM, kwa kuhonga au kutoa rushwa, baadhi ya watu ndani ya CCM wamekimbia.
"Watu waliotoa pesa walipoona nimechaguliwa waliamua kuondoka wenyewe," alisema.
Akizungumza kwa...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/J8QPZRl9S30/default.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar06 Oct
Magufuli Akichaguliwa Ufisadi Na Umasikini Vitaongezeka
John Magufuli Tuesday, October 6, 2015 Na Ananilea Nkya Mwandishi wa makala hii ni Ananilea Nkya ambaye ni Mkurugenzi Mstaafu wa TAMWA. ****** Watu wanaokampeni kushawishi Watanzania wamchague John Magufuli kuwa Rais wa tano wa Tanzania […]
The post Magufuli Akichaguliwa Ufisadi Na Umasikini Vitaongezeka appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mtanzania31 Aug
Dk. Magufuli: Kama kungekuwa na mashindano ya ilani, CCM ingeshinda
Na Bakari Kimwanga
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama kungekuwa na mashindao ya ilani bora ya uchaguzi, chama chake kingeongoza kwani kina ilani nzuri kuliko vyama vingine.
Alisema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), havina ilani inayoweza kutatua matatizo ya Watanzani hivyo ni vyema wananchi wasihadaike nao.
Ukawa inayoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, walizindua kampeni na ilani yao juzi jijini Dar es Salaam na...
9 years ago
Dewji Blog30 Sep
Mgombea Ubunge Temeke (CCM) Mtemvu ahaidi neema akichaguliwa tena
9 years ago
Mwananchi26 Dec
Dk Magufuli ana mtihani ndani ya CCM
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Magufuli: Mafisadi kukiona
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli (55), amewaahidi Watanzania kuwa atawatumikia pasipo kujali itikadi zao za kisiasa na kwamba endapo atakuwa Rais, serikali yake haitavumilia wazembe, wala rushwa na wabadhirifu.
Akizungumza katika nyakati tofauti baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kuwa mgombea wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Magufuli alisema amepokea kitendo hicho kwa unyenyekevu mkubwa na kwamba hatawaangusha...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Msirubuniwe na mafisadi - Dk Magufuli
9 years ago
Mwananchi30 Sep
Magufuli : Nitawafunga mafisadi kwa makufuli