Magufuli: Mafisadi wamenikimbia CCM
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kutokana na usafi wake, wanachama wa chama hicho wasio wasafi walipoona ameteuliwa kugombea nafasi hiyo, wamehama chama hicho kwa hofu ya kushughulikiwa.
Alisema kutokana na yeye kutokutumia fedha katika mchakato wa kuwania kuteuliwa na CCM, kwa kuhonga au kutoa rushwa, baadhi ya watu ndani ya CCM wamekimbia.
"Watu waliotoa pesa walipoona nimechaguliwa waliamua kuondoka wenyewe," alisema.
Akizungumza kwa...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/J8QPZRl9S30/default.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/S3fB1lsSZak/default.jpg)
MAGUFULI KAMA AKICHAGULIWA KUPAMBANA NA MAFISADI NDANI YA CCM
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mafisadi wamo hadi ndani ya chama chake na ndiyo maana baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wengi wao wameanza kuweweseka kutokana na hofu kubwa waliyo nayo dhidi yake.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli alikiri kuwa chama chake kiliwalea walarushwa na mafisadi kwa muda mrefu na ndiyo maana baadhi ya watu...
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Msirubuniwe na mafisadi - Dk Magufuli
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Magufuli: Mafisadi kukiona
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli (55), amewaahidi Watanzania kuwa atawatumikia pasipo kujali itikadi zao za kisiasa na kwamba endapo atakuwa Rais, serikali yake haitavumilia wazembe, wala rushwa na wabadhirifu.
Akizungumza katika nyakati tofauti baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kuwa mgombea wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Magufuli alisema amepokea kitendo hicho kwa unyenyekevu mkubwa na kwamba hatawaangusha...
9 years ago
Mwananchi30 Sep
Magufuli : Nitawafunga mafisadi kwa makufuli
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI
9 years ago
Raia Mwema02 Dec
Patashika vita Rais Magufuli, IMF na mafisadi nguli
TUNAWEZA kuifananisha hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Ma
Joseph Mihangwa
9 years ago
GPLDK MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI
9 years ago
Raia Mwema10 Dec
Patashika vita Rais Magufuli, IMF na mafisadi nguli [2]
KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya wiki iliyopita, tulitaja Sera za Shirika la Fedha la Kimat
Joseph Mihangwa
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10