Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (katikati) akishangiliwa na wananchi wenye ujumbe wa kumuunga mkono  huku akiwa na mfano wa msumeno wa kuwakatia wezi na mafisadi  akishinda urais wakati wa mkutano wa kampeni  mjini Igunga , Tabora jana.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AKABIDHIWA MSUMENO WA KUWAKATIA MAFISADI NCHINI

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (katikati) akishangiliwa na wananchi wenye ujumbe wa kumuunga mkono  huku akiwa na mfano wa msumeno wa kuwakatia wezi na mafisadi  akishinda urais wakati wa mkutano wa kampeni  mjini Igunga , Tabora jana. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG) Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Barafu mjini Igunga mkoani Tabora. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

 

9 years ago

GPL

DK MAGUFULI AZURU KABURI LA NYERERE BUTIAMA, AKABIDHIWA KIFIMBO CHA 'NYERERE'‏

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akizuru kaburi la Baba wa Taifa marehemu Julius Nyerere, katika Kijiji cha Mwitongo, wilayani Butiama, Mkoa wa Mara jana , aliposimama kwa muda akielekea kwenye mkutano wa kampeni wilayani huo leo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya.
 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akiweka shada la la maua alipozuru kaburi la Baba wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Msirubuniwe na mafisadi - Dk Magufuli

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amewatahadharisha wananchi kuwa makini siku ya kupiga kura, akiwataka wasikubali kurubuniwa na mafisadi akidai wana wasiwasi kuwa endapo ataingia Ikulu, atawashughulikia.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Magufuli: Mafisadi kukiona

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli (55), amewaahidi Watanzania kuwa atawatumikia pasipo kujali itikadi zao za kisiasa na kwamba endapo atakuwa Rais, serikali yake haitavumilia wazembe, wala rushwa na wabadhirifu.

Akizungumza katika nyakati tofauti baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kuwa mgombea wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Magufuli alisema amepokea kitendo hicho kwa unyenyekevu mkubwa na kwamba hatawaangusha...

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI AMSHUKURU BALOZI WA JAPAN NCHINI KUCHANGIA MIRADI YA MAENDELEO‏

Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli akitoa shukrani kwa serikali ya Japan inayowakilishwa na Balozi Masaki Okada baada ya kushuhudia utiaji saini wa mikataba ya fedha za ruzuku shilingi milioni 235 sawa na dola za Kimarekani 136,015 zilizotolewa na serikali ya Japan. Balozi wa Japan nchini, Mh. Masaki Okada (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt. Hussein Kidanto...

 

9 years ago

Raia Tanzania

Magufuli: Mafisadi wamenikimbia CCM

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kutokana na usafi wake, wanachama wa chama hicho wasio wasafi walipoona ameteuliwa kugombea nafasi hiyo, wamehama chama hicho kwa hofu ya kushughulikiwa.

Alisema kutokana na yeye kutokutumia fedha katika mchakato wa kuwania kuteuliwa na CCM, kwa kuhonga au kutoa rushwa, baadhi ya watu ndani ya CCM wamekimbia.

"Watu waliotoa pesa walipoona nimechaguliwa waliamua kuondoka wenyewe," alisema.

Akizungumza kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli : Nitawafunga mafisadi kwa makufuli

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka Watanzania wampe kura ili akiingia Ikulu akawafunge mafisadi kwa makufuli.

 

9 years ago

Raia Mwema

Patashika vita Rais Magufuli, IMF na mafisadi nguli [2]

KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya wiki iliyopita, tulitaja Sera za Shirika la Fedha la Kimat

Joseph Mihangwa

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI KAMA AKICHAGULIWA KUPAMBANA NA MAFISADI NDANI YA CCM


Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mafisadi wamo hadi ndani ya chama chake na ndiyo maana baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wengi wao wameanza kuweweseka kutokana na hofu kubwa waliyo nayo dhidi yake.

Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli alikiri kuwa chama chake kiliwalea walarushwa na mafisadi kwa muda mrefu na ndiyo maana baadhi ya watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani