CCM yamaliza kampeni Dar, Magufuli kuwashughulikia mafisadi
![](http://img.youtube.com/vi/J8QPZRl9S30/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Magufuli: Mafisadi wamenikimbia CCM
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kutokana na usafi wake, wanachama wa chama hicho wasio wasafi walipoona ameteuliwa kugombea nafasi hiyo, wamehama chama hicho kwa hofu ya kushughulikiwa.
Alisema kutokana na yeye kutokutumia fedha katika mchakato wa kuwania kuteuliwa na CCM, kwa kuhonga au kutoa rushwa, baadhi ya watu ndani ya CCM wamekimbia.
"Watu waliotoa pesa walipoona nimechaguliwa waliamua kuondoka wenyewe," alisema.
Akizungumza kwa...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/S3fB1lsSZak/default.jpg)
MAGUFULI KAMA AKICHAGULIWA KUPAMBANA NA MAFISADI NDANI YA CCM
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mafisadi wamo hadi ndani ya chama chake na ndiyo maana baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wengi wao wameanza kuweweseka kutokana na hofu kubwa waliyo nayo dhidi yake.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli alikiri kuwa chama chake kiliwalea walarushwa na mafisadi kwa muda mrefu na ndiyo maana baadhi ya watu...
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...
10 years ago
StarTV02 Dec
CCM kuwashughulikia waliojiandikisha zaidi ya mara moja.
Na Sudi Shaabani, Mwanza.
Chama cha Mapinduzi CCM kimeahidi kuwachukulia hatua za kisheria wale wote watakaobainika kuwa wamejiandikisha zaidi ya mara mbili katika daftari la mkazi hali iliyosababisha zoezi la uandikishaji kutofikia malengo yake kwa asilimia mia.
Mpaka sasa CCM wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kimewabaini watu kadhaa ambao wamehusika na tukio hilo maarufu kama mamluki na tayari wamefikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria.
Zoezi la uandikishaji katika daftari la mkazi...
11 years ago
Mwananchi12 Jan
Kamati ya Maadili CCM yatakiwa kuwashughulikia waliotangaza nia
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/5w1-REdHCYw/default.jpg)
9 years ago
VijimamboDK MAGUFULI AHAMISHIA MAFURIKO YA KAMPENI ZA CCM MKOANI KATAVI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-el4kpUinAZ0/XlkRfKtsE3I/AAAAAAALf1E/6gUEb4eyLmY6RQ9DC7u8XKdxgcomCS8vwCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-el4kpUinAZ0/XlkRfKtsE3I/AAAAAAALf1E/6gUEb4eyLmY6RQ9DC7u8XKdxgcomCS8vwCLcBGAsYHQ/s640/2.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-gat0M-ZcteU/XlkRftkbMRI/AAAAAAALf1I/gpmSwKe5EjoqknzE3_Vaf-54KozZL6UcQCLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Magufuli: Mafisadi kukiona
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli (55), amewaahidi Watanzania kuwa atawatumikia pasipo kujali itikadi zao za kisiasa na kwamba endapo atakuwa Rais, serikali yake haitavumilia wazembe, wala rushwa na wabadhirifu.
Akizungumza katika nyakati tofauti baada ya kuchaguliwa na Mkutano Mkuu wa CCM kuwa mgombea wa chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Magufuli alisema amepokea kitendo hicho kwa unyenyekevu mkubwa na kwamba hatawaangusha...