Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM kuwashughulikia waliojiandikisha zaidi ya mara moja.

Na Sudi Shaabani, Mwanza.

Chama cha Mapinduzi CCM kimeahidi kuwachukulia hatua za kisheria wale wote watakaobainika kuwa wamejiandikisha zaidi ya mara mbili katika daftari la mkazi hali iliyosababisha zoezi la uandikishaji kutofikia malengo yake kwa asilimia mia.

 

Mpaka sasa CCM wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kimewabaini watu kadhaa ambao wamehusika na tukio hilo maarufu kama mamluki na tayari wamefikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria.

 

Zoezi la uandikishaji katika daftari la mkazi...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Waliojiandikisha zaidi ya mara moja kikaangoni

BVRNa Aziza Masoud, Dar es Salaam

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema majina ya watu waliojiandikisha zaidi  ya mara moja  katika Daftari la Wapigakura, yamekabidhiwa kwa vyombo vya dola ili taratibu za kisheria zifuatwe ikiwamo kuwapeleka mahakamani.

Akizungumza katika kituo cha uchakatuaji (maandalizi) wa vitambulisho vya wapigakura jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Ramadhani Kailima, alisema sheria inawataka watakaotiwa hatihani kutumikia kifungo au kulipa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waliojiandikisha zaidi ya mara moja katika daftari la wapiga kura kuchuliwa za kisheria

1.

Mkuu wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Sisti Cariah (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari utaratibu wa uhifadhi wa fomu za taarifa za wananchi waliojiandisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, jana Alhamisi (Agosti 27, 2015)Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey.

2.

Afisa TEHAMA katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyelo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Uchaguzi NEC yakabidhi majina ya waliojiandikisha zaidi ya mara moja kwenye BVR kwa Jeshi la Polisi

1.

Mkuu wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Sisti Cariah (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari utaratibu wa uhifadhi wa fomu za taarifa za wananchi waliojiandisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, jana Alhamisi (Agosti 27, 2015)Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey.

2.

Afisa TEHAMA katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyelo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

NEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA MOJA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhan (kushoto), akimkabidhi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Benedict Wakulyamba orodha ya majina 52,078 ya watu waliojiandika katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR zaidi ya mara mbili Dar es Salaam leo, kwa ajili ya uchunguzi na baadae hatua za kisheria zichukuliwe kwa wahusika. Masanduku ya BVR yakiwa yamehifadhiwa Bohari ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Mtaalamu wa mfumo wa ulinzi wa NEC, Adolf Kinyelo akitoa...

 

9 years ago

Vijimambo

NEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA MBILI KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Kailima Ramadhan (kushoto), akimkabidhi Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Benedict Wakulyamba orodha ya majina 52,078 ya watu waliojiandika katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR zaidi ya mara mbili Dar es Salaam leo, kwa ajili ya uchunguzi na baadae hatua za kisheria zichukuliwe kwa wahusika. Masanduku ya BVR yakiwa yamehifadhiwa Bohari ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
 Mkurugenzi wa Idara ya Daftari la mpiga kura, Dk. Sisti...

 

5 years ago

Michuzi

KWA MARA YA KWANZA WATEJA WA HALOPESA KUNEEMEKA GAWIO,KUPATA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA

 Katika muendelezo wa kutoa  huduma bora za kifedha nchini. Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel kupitia huduma zake za kifedha za HaloPesa, inatarajia kutoa Gawio kwa wateja wake.
Hatua hiyo ikiwa ni hatua ya kwanza kwa HaloPesa kutoa gawio kiasi cha shilingi bilioni moja kwa wateja  wake Zaidi ya Milioni 1.9  ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala na washirika wake mbalimbali wanatumia huduma za HaloPesa.
Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar Es Salaam, Mkuu wa kitengo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Maadili CCM yatakiwa kuwashughulikia waliotangaza nia

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeshauri Kamati ya Maadili ya CCM kuwaonyesha mlango wa kutokea wote walioanza kampeni za kugombea urais, ubunge na nyingine kinyume cha maadili ya chama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani