Dk. Magufuli: Kama kungekuwa na mashindano ya ilani, CCM ingeshinda
Na Bakari Kimwanga
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama kungekuwa na mashindao ya ilani bora ya uchaguzi, chama chake kingeongoza kwani kina ilani nzuri kuliko vyama vingine.
Alisema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), havina ilani inayoweza kutatua matatizo ya Watanzani hivyo ni vyema wananchi wasihadaike nao.
Ukawa inayoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, walizindua kampeni na ilani yao juzi jijini Dar es Salaam na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNAPE: CCM ITAMPA USHIRIKIANO MKUBWA DK. MAGUFULI ATEKELEZE ILANI KIKAMILIFU
NA BASHIR NKOROMO.
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema, kitampa ushirikiano mkubwa, Rais Dk. John Magufuli, ili aweze kwa ufanisi zaidi mapambano yake dhidi ya mafisadi na mikakati mingine ya kuinua uchumi wa Watanzania.
Kimesema, kitampa ushirikiano huo Rais Dk. Magufuli, kwa sababu, aliyoanza kuyafanya na atakayoyafanya baadaye katika uongozi wake wa Urais anatekeleza...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar31 Aug
Jee Wtz tutegemee changing gani ikiwa Mh Pombe Makufuli anasema atalinda sera na ilani zote za ccm kama wale walomtangulia kabla yake ?
Ccm ni miaka 51(nusu karne) imeshika madaraka na bado Wtz waakawaida ni maskini na Serekali inayo ongozwa na Ccm 80% inaomba budget yake ya kila mwaka kwa misada ya kigeni. Jee kweli Makufuli 1 ambaye kila […]
The post Jee Wtz tutegemee changing gani ikiwa Mh Pombe Makufuli anasema atalinda sera na ilani zote za ccm kama wale walomtangulia kabla yake ? appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
CCM BlogNAPE ATINGA NEW HABARI CORPORATION LTD LEO, ASEMA CCM ITAMPA USHIRIKIANO MKUBWA DK. MAGUFULI ASIMAMIE ILANI VIZURI
Karibu sana
Karibu sana hapa ni ofisini kwako
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mhariri wa Habari wa gazeti la Mtanzania, Bakari Kimwanga
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CCM, Godfrey Chongolo akisalimiana na Kibanda
Wakienda ukumbini
Wakiwa katika...
9 years ago
VijimamboMAGUFULI KAMA AKICHAGULIWA KUPAMBANA NA MAFISADI NDANI YA CCM
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema mafisadi wamo hadi ndani ya chama chake na ndiyo maana baada ya kuteuliwa kuwa mgombea urais wengi wao wameanza kuweweseka kutokana na hofu kubwa waliyo nayo dhidi yake.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika mikutano ya kampeni ya chama chake mjini Kisarawe, Pwani na baadaye Ukonga, jijini Dar es Salaam jana, Magufuli alikiri kuwa chama chake kiliwalea walarushwa na mafisadi kwa muda mrefu na ndiyo maana baadhi ya watu...
9 years ago
Michuzi30 Aug
MGOMBEA MWENZA WA CCM SAMIAH SULUHU ANADI ILANI YA CCM MWAKA 2015 KATIKA KATA YA KYENGEGE,WILAYA YA IRAMBA
Bi.Samiah Suluhu ambaye ni Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kwa...
11 years ago
Dewji Blog17 Jul
Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
10 years ago
Habarileo05 Jul
Ilani ya Uchaguzi ya CCM yaiva
KIKAO Maalumu cha Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza jana Mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake Jakaya Kikwete, kwa ajili ya kupitisha Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015.
9 years ago
Habarileo04 Oct
‘Ilani zinazotekelezeka zipo CCM’
MGOMBEA Udiwani wa Kata ya Kivukoni, Henry Massaba (CCM) amewataka Watanzania kuwapigia kura wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa ndicho pekee kinachotoa ilani zinazotekelezeka.
9 years ago
Michuzi14 Sep