Jee Wtz tutegemee changing gani ikiwa Mh Pombe Makufuli anasema atalinda sera na ilani zote za ccm kama wale walomtangulia kabla yake ?
Ccm ni miaka 51(nusu karne) imeshika madaraka na bado Wtz waakawaida ni maskini na Serekali inayo ongozwa na Ccm 80% inaomba budget yake ya kila mwaka kwa misada ya kigeni. Jee kweli Makufuli 1 ambaye kila […]
The post Jee Wtz tutegemee changing gani ikiwa Mh Pombe Makufuli anasema atalinda sera na ilani zote za ccm kama wale walomtangulia kabla yake ? appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar24 Oct
Jee hii ndio amani ya Taifa aitakayo Mh Jk na ccm yake?
Gari la mabox ya kura fake lakamatwa Njombe Wananchi wa Njombe wachachamaa kuingiziwa kura fake,Jeshi la Polisi lawashambulia kwa mabomu ya machozi , jee kosa lao nini? Ccm wazitick kura kabla ya kupiga kesho Vitimbi vya […]
The post Jee hii ndio amani ya Taifa aitakayo Mh Jk na ccm yake? appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Sep
“CCM Kutumia SERA NA ILANI ZA UONGO: “Lengo Nikubadilisha Imani ya Wapiga Kura”
Asalamu Alaikhum Warahmatullah Wabarakatuhu Ndugu Wazanzibari wenzangu wa Ndani na Nje ya Visiwa Vyetu Adhimu. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Allah (SW) Kwakunipa Uzim na wasia wakuandika makala hii ambayo naamini Inaweza kuwa-amsha Wazanzibari wenzangu […]
The post “CCM Kutumia SERA NA ILANI ZA UONGO: “Lengo Nikubadilisha Imani ya Wapiga Kura” appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi11 Jun
Tutegemee tena Bajeti ya sigara, pombe, soda?
9 years ago
Mtanzania31 Aug
Dk. Magufuli: Kama kungekuwa na mashindano ya ilani, CCM ingeshinda
Na Bakari Kimwanga
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama kungekuwa na mashindao ya ilani bora ya uchaguzi, chama chake kingeongoza kwani kina ilani nzuri kuliko vyama vingine.
Alisema vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), havina ilani inayoweza kutatua matatizo ya Watanzani hivyo ni vyema wananchi wasihadaike nao.
Ukawa inayoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, walizindua kampeni na ilani yao juzi jijini Dar es Salaam na...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar12 Sep
Wtz tukataee kutishwa juu ya mamuzi yetu,miaka 52 ya utawala wa ccm inatosha .
The post Wtz tukataee kutishwa juu ya mamuzi yetu,miaka 52 ya utawala wa ccm inatosha . appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Dewji Blog18 Aug
Serikali yashauriwa kutunga sera ya kudhibiti pombe
Banda la Mtandao wa mashirika yapatayo 30 ya kupambana na matumizi ya kupita kiasi ya pombe nchini (Tanzania Network Against Alcohol Abuse) kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana duniani.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imeshauriwa kutunga sera madhubuti ya udhibiti wa pombe katika jamii ili pamoja na mambo mengine kuhakikisha vijana wanalindwa dhidi ya bidhaa hiyo kwenye soko.
Akizungumza na Moblog Tanzania jijini Dar es Salaam katika viwanja vya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RuWbev-xAt8JOWYH*2QzHqULqrczY2cTkdyS0lJKMUhqFz9Rg-cE2jJFBpnzpe*o6DssmOLFnoQgOcJGwwDFZncTvV721K8a/Supermarket2.jpg?width=750)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0279.jpg)
SERIKALI YASHAURIWA KUTUNGA SERA YA KUDHIBITI POMBE