Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitt Romney ; Gavana wa Marekani aliyetoa hotuba darasa kwa magufuli na Lowassa.

mitt romneyNa Michael Maurus kwa msaada wa mitandao

GAVANA wa 70 wa Marekani, Mitt Romney, aliwahi kutoa hotuba ya aina yake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo mwaka 2012, ambayo hadi leo imebaki kuwa darasa tosha kwa wanaojitokeza kuwania uongozi.

Kwa hapa Tanzania, hotuba hiyo inaweza ikawa somo kwa wale wote waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kama John Maguli, Edward Lowassa, Anna Mghwira na wengineo wanaowania urais.

Wakati Magufuli akiwania nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli alazwa chini

IMG-20151227-WA0001
Chacha Makenge akiwa amelazwa chini kwenye hospitali ya Muhimbili.

Chande Abdallah na Deogratius Mongela, UWAZI
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa aliyeibua ubovu wa mtambo ya CT Scan na mashine ya MRI kwa Rais John Pombe Magufuli, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar, Chacha Makenge (pichani)amekutwa na Uwazi akiwa amelala sakafuni wodini.

Desemba 25, mwaka huu, Uwazi lilifika hospitalini hapo Jengo la Sewa Haji wodi namba 18 na kumshuhudia Chacha amelalia mashuka aliyoyatandika chini huku...

 

9 years ago

Global Publishers

Aliyetoa siri ya Muhimbili kwa Magufuli, mazito yaibuka

HANDAKI
Chacha Makenge.

NA MWANDISHI WETU, Uwazi
DAR ES SALAAM: Yule mgonjwa anayeaminika ndiye aliyetoa siri ya kuharibika kwa mashine za CT Scan na MRI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Rais Dk. John Magufuli na wiki iliyopita kudai amelazwa chini, Chacha Makenge, amesababisha mapya kuibuka.

Wakizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, maofisa uhusiano wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (Moi), Frank Matua na Patrick Mvungi kwa nyakati tofauti, walisema kuwa, mgonjwa huyo hakuwa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Rais wa Nigeria darasa kwa Magufuli

HATIMAYE, Jumapili iliyopita, Watanzania walipiga kura kumchagua Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri

Evarist Chahali

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MARYLAND, MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Maryland la nchini Marekani, Mhe. Martin O'Malley walipokutana jijini Washington D.C kwa mazungumzo kuhusu namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Jimbo hilo na Tanzania katika masuala ya uchumi, jamii na siasa. Mhe. Membe alipata fursa ya kukutana na Gavana huyo alipokuwa mjini humo kwa ajili ya kumwakilisha Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

StarTV

Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA.

Waziri wa michezo wa Afrika Kusini , Fikile Mbalula, sasa anasema rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA , hela ambayo sasa inakumbwa na madai kwamba ilikuwa rushwa .

Utawala wa Afrika Kusini umekuwa ukisisitiza kwamba ulikuwa ni mchango wa kusaidia kukuza soka katika nchi za Caribbean.

Lakini waendesha mashtaka wa Marekani wanadai ilikuwa hongo, iliyoshawishi kupewa uenyeji wa kombe la dunia mwaka 2010 .

Bwana Mbeki mwenyewe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri:Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA

Rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA ,fedha zilizozua utata

 

10 years ago

Raia Mwema

Kama akiwa Rais Nani atamfunga ‘gavana’ Magufuli?

NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwa kutoweka ghafla, na kwa muda mrefu katika safu hii.

Johnson Mbwambo

 

11 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani