Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM, Ukawa katika matokeo ya awali

Katika Kitongoji cha Njiapanda Magharibi (Vunjo) CCM ilishinda kwa kura (343), NCCR-Mageuzi (195) na TLP-(36).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

John Pombe Magufuli aongoza majimbo 3 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais

Jaji

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais 2015 katika majimbo matatu kwa mujibu wa taarifa ya NEC ambapo majimbo hayo ni Makunduchi,  Paje ya visiwani Zanzibar pamoja na jimbo la Lulindi -Mtwara.

Ifuatayo ni sauti ya Jaji Mstaafu Damian Lubuva katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI LEO KATIKA UKUMBI WA MWALIMU NYERERE YALIPOKUWA YANATANGAZWA MATOKEO YA AWALI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Damian Lubuva (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari na waangalizi wa kimataifa wakati akitangaza matokeo ya awali ya urais Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali.
 Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa kwenye mkutano huo wa kutangazwa matokeo ya awali. Jaji Lubuva akijiandaa kutangaza matokeo hayo...

 

9 years ago

Habarileo

Ukawa waishangaza CCM kushangilia ubunge, kukataa matokeo ya urais

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinashangazwa na malalamiko ya viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwamba hawakubali matokeo ya urais yanayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), lakini huku wakishangilia ushindi katika majimbo waliyoshinda ambayo uchaguzi pia ulisimamiwa na NEC.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya awali Catalonia

Matokeo ya kura ya maoni isiyokuwa na makubaliano iliyopigwa jana kutaka ama kutotaka jimbo la Catalonia.

 

11 years ago

GPL

MATOKEO YA AWALI JIMBONI CHALINZE

Mgombea Ridhiwani Kikwete (CCM) anaongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi Jimbo la Chalinze kwa kata 15 akiwa na kura 20,733, Chadema 2,618 na CUF 449!

 

9 years ago

GPL

NEC YATANGAZA MATOKEO YA AWALI YA URAIS KWA MAJIMBO 3

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu ambayo ni Lulindi, Makunduchi na Paje kama yanavyoonekana kwenye jedwali hapo juu. Matokeo mengine ya awali ya urais yataendelea kuwajia kadri yatakavyokuwa yakitolewa na…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani