Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


John Pombe Magufuli aongoza majimbo 3 katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais

Jaji

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva ametangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais 2015 katika majimbo matatu kwa mujibu wa taarifa ya NEC ambapo majimbo hayo ni Makunduchi,  Paje ya visiwani Zanzibar pamoja na jimbo la Lulindi -Mtwara.

Ifuatayo ni sauti ya Jaji Mstaafu Damian Lubuva katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

DK Magufuli aongoza majimbo matatu kwenye matokeo ya awali

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza matokeo ya awali ya urais kwa majimbo matatu yaliyokamilisha mchakato huo mpaka jana asubuhi.

 

9 years ago

Mwananchi

MATOKEO YA AWALI: Dk Magufuli anaongoza majimbo tisa, Lowassa manne

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jioni hii imeendelea kutoa matokeo ya awali ya urais katika majimbo 13 ambapo mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli anaongoza kwa majimbo tisa wakati Mgombea wa Chadema, Edward Lowassa anaongoza majimbo manne.

 

9 years ago

Vijimambo

TUME YA UCHAGUZI YATOA MATOKEO YA AWALI KWA MAJIMBO MATATU YA UCHAGUZI KWA NGAZI YA URAIS

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva ametangaza majimbo matatu ya awali ya uchaguzi leo katika Ukumbi wa Mwalimu nyerere ambayo ni Paje, Makunduchi pamoja na Lulindi








ENDELEA KUTUFUATILIA IFIKAPO SAA SITA MCHANA

 

10 years ago

Raia Mwema

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKAZI WA WFP APONGEZA UAMUZI WA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI WA KUTOWEKA ZUIO LA KUTOKA NJE (LOCKDOWN) KATIKA KIPINDI CHA MAPAMBANO YA UGONJWA WA COVID 19



Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brig. Jen. Wilbert A. Ibuge na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford wakisalimiana mara baada ya kukutana kwa mazungumzo jijini Dodoma

Katika hatua nyingine Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford ametembelea vikundi vya wakulima vinavyofadhiliwa na miradi ya Shirika hilo Kibaigwa mkoani Dodoma. Lengo la ziara hiyo ilikuwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais ni Dkt. John Pombe Magufuli

1x-1

Ni muda mfupi uliopita baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumtangaza rasmi Mgombea Urais wa chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt.John Pombe Magufuli aliyepata 58.46% dhidi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa 39.97%.

Modewji blog inatoa pongezi kwa Mgombea mweza Mama Samia Suluhu Hassan kwa ushindi huo.

Happy Birthday to you…. Mheshimiwa Rais uwe na siku njema ikiwa leo pia unasheherekea siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani