Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wacheza kamari ya Kombe, wachezwa

Wacheza kamari kutoka sehemu tofautii za dunia kwa simu na kwenye internet kuhusu Kombe la Kandana la Dunia, waliwa pesa zao Macau

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Nchi imejaa vijana wacheza kamari, tuwanusuru

>Natambua kuwa kwa sababu mbalimbali,  walengwa husika wa  makala haya hawatosoma mawazo yangu, lakini wewe utakayebahatika kunisoma kwa pamoja, mimi na wewe tuna dhima ya kuwanusuru vijana  wa Taifa hili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamari yamtisha Malinzi

KASI ya kamari katika soka nchini maarufu kama ‘betting’, imeanza kumtisha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akihofia kuuvuruga mchezo huo kama hatua hazitachukuliwa. Malinzi aliyeukwaa urais...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vijana na ndoto ya utajiri kupitia kamari

TAKRIBAN Waaustralia 290,000 wana tatizo la kucheza kamari, jambo linalowasababishia hasara ya zaidi ya dola bilioni tatu za Marekani kila mwaka. Kwa hapa nchini Peter ni miongoni mwa vijana wengi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtandao wa kamari wahusisha Polisi, halmashauri

>Ni pembeni ya kituo cha basi cha Mbagala Rangi Tatu, vijana kadhaa wakiwa na wanawake wa makamo na wasichana wanachezesha mchezo wa karata tatu, maarufu kama kamari, hadharani na watu wa usalama wakipita na kuona kitu hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamari za soka gumzo kila kona Dar

>Ni dhahiri sasa michezo ya kubahatisha hapa nchini imeshika kasi kutokana na ongezeko la vituo vya kamari ya soka maarufu kama ‘kubeti’.

 

10 years ago

Raia Mwema

Kamari waliyoicheza kina Mbowe na Lowassa isipolipa watalipa?

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeweka hatima yake, hadhi yake, na sifa zake zote m

Lula wa Ndali Mwananzela

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Mwananchi

Wafuasi CUF wacheza ‘sinema’ mahakamani

Ilikuwa kama sinema wakati wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaokabiliwa na kesi ya kufanya maandamano na mikusanyiko isiyo halali, wakitimua mbio mahakamani baada ya kufutiwa mashtaka kwa muda.

 

10 years ago

Habarileo

Wanakijiji wacheza muziki kushangilia umeme

WAKAZI wa kijiji cha Mbegasera wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wameshindwa kuzuia furaha yao na kuamua kusakata muziki baada ya umeme kufika kijijini hapo na wananchi kuunganishwa kwenye nyumba zao, ambazo walilazimika kuezua sehemu ya nyasi na kuezeka kwa bati ili kufungiwa nishati hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani