Mtandao wa kamari wahusisha Polisi, halmashauri
>Ni pembeni ya kituo cha basi cha Mbagala Rangi Tatu, vijana kadhaa wakiwa na wanawake wa makamo na wasichana wanachezesha mchezo wa karata tatu, maarufu kama kamari, hadharani na watu wa usalama wakipita na kuona kitu hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo22 Aug
Wahusisha kesi ya ugaidi na Muungano
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho Zanzibar, Shehe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake 19 wanaokabiliwa na mashitaka ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi, wamedai wamekamatwa na kushitakiwa kwa kuwa wanapinga Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
11 years ago
Michuzi14 May
10 years ago
Habarileo05 Jan
Polisi yanasa mtandao wa `kigaidi’
JESHI la Polisi mkoani Ruvuma kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, limefanikiwa kukitambua kikundi cha mtandao wa kigaidi.
10 years ago
Mwananchi15 Apr
Polisi idhibiti mtandao wa vibaka Dar
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s72-c/YKL.jpg)
POLISI WAUNGANISHA NGUVU KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s320/YKL.jpg)
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Kamari yamtisha Malinzi
KASI ya kamari katika soka nchini maarufu kama ‘betting’, imeanza kumtisha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akihofia kuuvuruga mchezo huo kama hatua hazitachukuliwa. Malinzi aliyeukwaa urais...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Mtandao wa TACCEO walaani polisi kuvamia kituo chao
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Wacheza kamari ya Kombe, wachezwa
11 years ago
Ykileo![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s72-c/YKL.jpg)
POLISI WA UNGANISHA NGUVU KWENYE MAPAMBANO DHIDI YA UHALIFU MTANDAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-_rTWukMf3YQ/U4JmetZkxaI/AAAAAAAAAjo/ZigL8QHZZss/s1600/YKL.jpg)
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...