Kamari yamtisha Malinzi
KASI ya kamari katika soka nchini maarufu kama ‘betting’, imeanza kumtisha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akihofia kuuvuruga mchezo huo kama hatua hazitachukuliwa. Malinzi aliyeukwaa urais...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Makundi ya urais yamtisha Sitta
USHINDI wa Samuel Sitta kuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, umeanza kuwatia hofu wabaya wake kisiasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na sasa ameundiwa zengwe la kumchafua. Tanzania...
11 years ago
Habarileo02 Feb
Kasi ya ukahaba Iringa yamtisha RC
BIASHARA ya ngono imeelezwa kushika kasi mjini Iringa huku vijana wa kiume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja nao wakiongezeka. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk Christine Ishengoma ameiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kutumia vyombo vya dola kuwasaka watu hao na kuwafikisha kwenye mikono ya sheria.
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Sura ya mke yamtisha mumewe harusini
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Wacheza kamari ya Kombe, wachezwa
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Mtandao wa kamari wahusisha Polisi, halmashauri
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Vijana na ndoto ya utajiri kupitia kamari
TAKRIBAN Waaustralia 290,000 wana tatizo la kucheza kamari, jambo linalowasababishia hasara ya zaidi ya dola bilioni tatu za Marekani kila mwaka. Kwa hapa nchini Peter ni miongoni mwa vijana wengi...
10 years ago
Mwananchi25 May
Kamari za soka gumzo kila kona Dar
10 years ago
Mwananchi14 Jul
UCHAMBUZI: Nchi imejaa vijana wacheza kamari, tuwanusuru
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
Kamari waliyoicheza kina Mbowe na Lowassa isipolipa watalipa?
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeweka hatima yake, hadhi yake, na sifa zake zote m
Lula wa Ndali Mwananzela