UCHAMBUZI: Nchi imejaa vijana wacheza kamari, tuwanusuru
>Natambua kuwa kwa sababu mbalimbali, walengwa husika wa makala haya hawatosoma mawazo yangu, lakini wewe utakayebahatika kunisoma kwa pamoja, mimi na wewe tuna dhima ya kuwanusuru vijana wa Taifa hili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Wacheza kamari ya Kombe, wachezwa
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Vijana na ndoto ya utajiri kupitia kamari
TAKRIBAN Waaustralia 290,000 wana tatizo la kucheza kamari, jambo linalowasababishia hasara ya zaidi ya dola bilioni tatu za Marekani kila mwaka. Kwa hapa nchini Peter ni miongoni mwa vijana wengi...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Tuwanusuru watoto wetu, biashara hii mbaya
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Kamari yamtisha Malinzi
KASI ya kamari katika soka nchini maarufu kama ‘betting’, imeanza kumtisha Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi akihofia kuuvuruga mchezo huo kama hatua hazitachukuliwa. Malinzi aliyeukwaa urais...
11 years ago
Mwananchi08 Jul
Vijana NCCR kuandamana nchi nzima
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Mtandao wa kamari wahusisha Polisi, halmashauri
10 years ago
Habarileo02 Apr
Nchi za Afrika zatakiwa kuwapa nafasi vijana
RAIS wa Umoja wa Vijana wa Afrika (PYU), Francine Mayumba amewataka viongozi wa nchi barani Afrika kuwapa nafasi vijana za kufanya mambo mbalimbali ya maamuzi kutokana na umuhimu wao katika jamii.
10 years ago
Mwananchi25 May
Kamari za soka gumzo kila kona Dar
9 years ago
StarTV28 Dec
Ukosefu wa ajira kwa vijana watishia amani ya nchi
Waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga uchumi Dr Husein Ali Mwinyi amesema miongoni mwa matatizo makubwa yanayoikabili nchi ni ukosefu wa ajira kwa vijana jambo ambalo linahitaji mikakati imara na mipango thabiti ya ushirikiano itakayopelekea kuwanusuru vijana kujiingiza katika vitendo viovu kwa kuwajengea misingi ya ajira.
Anasema kuzisaidia jumuiya za kiraia zenye malengo ya kuwakusanya vijana na kuwapatia stadi za kiuchumi na ajira ni hatua muhimu kwa viongozi na wadau wengine kuwajibika...