Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana na ndoto ya utajiri kupitia kamari

TAKRIBAN Waaustralia 290,000 wana tatizo la kucheza kamari, jambo linalowasababishia hasara ya zaidi ya dola bilioni tatu za Marekani kila mwaka. Kwa hapa nchini Peter ni miongoni mwa vijana wengi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Nchi imejaa vijana wacheza kamari, tuwanusuru

>Natambua kuwa kwa sababu mbalimbali,  walengwa husika wa  makala haya hawatosoma mawazo yangu, lakini wewe utakayebahatika kunisoma kwa pamoja, mimi na wewe tuna dhima ya kuwanusuru vijana  wa Taifa hili.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara wajiajiri kupitia mfuko wa mendeleo ya Vijana

Kikosi kazimaalum kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wa kiongea na Kaimu Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ,Bw. Rashid Mohamed walimpotembelea leo ofisini kwake kwa ajili ya kufuatilia na kufanya tathmini ya mikopo iliyokwishatolewa katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-mikindani. Wajumbe wa kikundi cha AMKENI kutoka Halmashauri ya manispaa ya Mtwara mikindani wakiwa katika majadiliano na wajumbe wa kikosi kazi maalum kutoka...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vijana kutanua wigo wa kibiashara Afrika na China kupitia mkutano wa jukwaa la viongozi vijana

IMG_2103

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.

IMG_2136

Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (Hayupo...

 

11 years ago

Michuzi

Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Wapigwa msasa kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana

 Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Mkoani Dodoma Bw. Boniface Mandi akifungua  Mafunzo  ya Vikundi vya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.Mafunzo hayo yanatolewa na kuratibiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Mkoani Dodoma Bw. Boniface Mandi akiongea na Timu ya Maafisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo  kabla ya kufungua...

 

10 years ago

Mwananchi

Vijana ondokeni vijiweni, kilimo ni utajiri tosha

Ilikuwa siku ya Mei 29, mwaka huu zaidi ya watu 500 walikusanyika kujadili kilimo cha mpunga kibiashara huku Mkuu wa Mkoa, Abass Kandoro akiwa mgeni rasmi.

 

10 years ago

Michuzi

Beta Zebron awezeshwa kukamilisha ndoto zake kupitia Airtel Fursa "Tunakuwezesha"

Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakoawawezesha kuimarisha biashara zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu awataka vijana kuacha ndoto za maisha ya mkato

>Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Titus Mdoe amewataka vijana nchini, kuhakikisha wanapata elimu bora itakayowawezesha kufanikisha ndoto zao kwa njia zisizo za mashaka.

 

10 years ago

GPL

BETA ZEBRON AWEZESHWA KUKAMILISHA NDOTO ZAKE KUPITIA AIRTEL FURSA "TUNAKUWEZESHA"

Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakoawawezesha kuimarisha biashara zao.  Bofya hapa: goo.gl/ECdVkc ukamate fursa na Airtel

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani