Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi za Afrika zatakiwa kuwapa nafasi vijana

RAIS wa Umoja wa Vijana wa Afrika (PYU), Francine Mayumba amewataka viongozi wa nchi barani Afrika kuwapa nafasi vijana za kufanya mambo mbalimbali ya maamuzi kutokana na umuhimu wao katika jamii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Nchi za Afrika zatakiwa kushirikiana kuukabiliana na Ujangili Wa Wanyamapori

Serikali imesema nchi zilizo bara la Afrika hazina budi kushirikiana kukabiliana na wimbi kubwa la ujangili wa wanyamapori kutokana na kuendelea kuuawa kwa wanyama kama tembo na Faru.

Takwimu zinaonyesha kuwa Tembo wanazidi kupungua kila mwaka kutokana na kuwepo kwa soko la biashara ya pembe za ndovu katika nchi za ughaibuni.

Takwimu zinaonyesha kuwa tangu mwaka 1980 zaidi ya Tembo elfu 70 wameuawa na majangili katika hifadhi mbalimbali za wanayamapori hapa nchini.

Na takwimu za shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

Mkuu wa wilaya Arumeru Mhe Nyirembe Munasa afungua Tamasha la Vijana katika nchi za Afrika Mashariki leo

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru,mkoa wa Arusha, Mhe.  Nyirembe Munasa akitoa hotuba kwa vijana kutoka nchi za Afrika Mashariki katika Tamasha linalowakutanisha Vijana wapatao 250 ,Tamasha hilo linafanyika  kwa siku tano katika taasisi ya
 MS -TCDC mkoani Arusha
 Vijana kutoka nchi za Afrika Mashariki wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye Tamasha la vijana. Mkuu wa Wilaya Arumeru,mkoa wa Arusha, Mhe Nyirembe Munasa (kulia mbele) akibadilishana mawazo na mmoja wa vijana kutoka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi

NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nchi za Ulaya zatakiwa kuokoa wahamiaji

Naibu waziri wa ulinzi nchini Ugiriki amezitaka nchi za kaskazini mwa bara Ulaya kuwaokoa wahamiaji kutoka baharini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

TaESA kuwapa mafunzo vijana 2,000

WAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) itatoa mafunzo kwa wahitimu 2,000 wa vyuo vikuu wanatafuta ajira. Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa TaESA,...

 

11 years ago

Michuzi

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA SHUGHULI ZA MAENDELEO YA VIJANA

Katibu wa Kikundi cha Sayari, Bibi. Mwanaisha Ali akikabidhi Risala ya Kikundi hicho kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga mwishoni mwa wiki alipotembelea kikundi hicho kwa ajili ya kukagua maendeleo ya shughuli za vikundi vya Vijana Wilayani Kilwa, Mkoani Lindi. Mwenyekiti wa Kikundi cha Sayari, Bw. Ramadhan Sungura akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bibi. Sihaba Nkinga (hayupo pichani) wakati...

 

11 years ago

Michuzi

Halmashauri zote nchini zatakiwa kutenga asilimia 5 ya mapato kwa ajili ya shughuli za vijana

Halmashauri zote nchini zinawajibika kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya vijana pamoja na kuwatengea vijana asilimia 5 ya mapato ya halmashauri husika kwa ajili ya kuwezesha shughuli hizo.
Hayo yamesemwa jana ( leo) Mkoani Dodoma Wilaya ya Nchemba na Afisa Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Amina Sanga katika mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhusu mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Bi. Amina alisema kuwa vijana ndiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani