Mkuu wa wilaya Arumeru Mhe Nyirembe Munasa afungua Tamasha la Vijana katika nchi za Afrika Mashariki leo
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru,mkoa wa Arusha, Mhe. Nyirembe Munasa akitoa hotuba kwa vijana kutoka nchi za Afrika Mashariki katika Tamasha linalowakutanisha Vijana wapatao 250 ,Tamasha hilo linafanyika kwa siku tano katika taasisi ya
MS -TCDC mkoani Arusha
Vijana kutoka nchi za Afrika Mashariki wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye Tamasha la vijana. Mkuu wa Wilaya Arumeru,mkoa wa Arusha, Mhe Nyirembe Munasa (kulia mbele) akibadilishana mawazo na mmoja wa vijana kutoka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziRais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika
10 years ago
VijimamboRais Jakaya Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI LEO
9 years ago
MichuziMakamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu wa awamu ya Tano, Dkt. Jakaya Kikwete, wakiangalia moja ya Ndege ya Kivita ya mfano, wakati walipotembelea Mabanda ya maonesho ya Mkutano Mkuu wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana. Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
10 years ago
MichuziBALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN, WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANIUSALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR
10 years ago
VijimamboBALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AFUNGUA MKUTANO WA NCHI 14 ZA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI MASHARIKI MWA AFRIKA
10 years ago
MichuziMakamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI