Rais Jakaya Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika(ESSAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam siku ya Jumatatu March 9, 2015, Walioketi meza kuu kutoka kulia ni Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha Servacius Likwelile, manaibu katibu wakuu hazina Dkt.Hamisi Mwinyimvua na Bi.Dorothy Mwanyika.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DMrsrclh9YI/VP3SYhSfLRI/AAAAAAAHJJE/kJWwnWEuGdo/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
Rais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika
![](http://4.bp.blogspot.com/-DMrsrclh9YI/VP3SYhSfLRI/AAAAAAAHJJE/kJWwnWEuGdo/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kfNCnGnu55Y/VP3SYNYIKAI/AAAAAAAHJJA/-FdD7WDE8TQ/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
5 years ago
MichuziIGP SIRRO AFUNGUA MKUTANO WA NCHI 14 ZA SHIRIKISHO LA WAKUU WA POLISI MASHARIKI MWA AFRIKA
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-mWUvP40e7mw/VmLA5gEoqsI/AAAAAAAAr_k/3nNBtf6NqCE/s72-c/1A.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE, KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG, AHUTUBIA LEO MKUTANO WA MWISHO
![](http://3.bp.blogspot.com/-mWUvP40e7mw/VmLA5gEoqsI/AAAAAAAAr_k/3nNBtf6NqCE/s640/1A.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-bgU4Z_pzN3Q/VmLBKyC9kMI/AAAAAAAAr_w/CsNTJfq8pPQ/s640/2..jpg)
Makamu wa...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, Jijini Johannesburg
![](http://4.bp.blogspot.com/-AkL0QtdmB4A/VmK0CsPBvsI/AAAAAAACmgc/UUSipBl0myQ/s640/1A.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo . (Picha Zote na OMR).
![](http://2.bp.blogspot.com/-eOQXFKY8Vuo/VmK0CY4NgMI/AAAAAAACmgY/FF5YsBNaPQU/s640/2..jpg)
Makamu...
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwenye mkutano wa tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, Jijini Johannesburg
![](http://4.bp.blogspot.com/-AkL0QtdmB4A/VmK0CsPBvsI/AAAAAAACmgc/UUSipBl0myQ/s640/1A.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo . (Picha Zote na OMR).
![](http://2.bp.blogspot.com/-eOQXFKY8Vuo/VmK0CY4NgMI/AAAAAAACmgY/FF5YsBNaPQU/s640/2..jpg)
Makamu...
10 years ago
Vijimambo15 Jun
MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA HUKO AFRIKA KUSINI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1165.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/2124.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-QOAcK6scAYE/U-IXyxXo7II/AAAAAAAF9js/ZCH1lb_UAAM/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI KWA NCHI ZA AFRIKA NA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA, JIJINI ARUSHA
Kongamano hilo ambalo limedhaminiwa na Shirika la misaada la Kimataifa la Marekani (USAID) linalenga kukuza tafiti za kisayansi na kutanua maendeleo ya tafiti hizo ili yasaidie wananchi wa nchi za ukanda huu hasa vijana ambao wanaelezwa kuwa...
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Wakuu wa nchi za Kusini mwa Afrika kumzika Mbita
Christina Gauluhanga na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
WAKATI nchi nne za kusini mwa Afrika zikithibitisha kushiriki kwenye mazishi ya Brigedia Jenerali Hashim Mbita (82) yatakayofanyika kesho katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baadhi ya marafiki waliomfahamu marehemu kwa miaka mingi wamesema ameacha pigo na mchango wake unatambuliwa na mataifa mbalimbali.
Mtoto wa marehemu, Idd Mbita, alisema nchi za Zimbabwe, Namibia, Msumbiji na Angola zimethibitisha kutuma wawakilishi katika...
10 years ago
VijimamboMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA BIASHARA YA KILIMO KWA NCHI ZA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI