Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi za Afrika zatakiwa kushirikiana kuukabiliana na Ujangili Wa Wanyamapori

Serikali imesema nchi zilizo bara la Afrika hazina budi kushirikiana kukabiliana na wimbi kubwa la ujangili wa wanyamapori kutokana na kuendelea kuuawa kwa wanyama kama tembo na Faru.

Takwimu zinaonyesha kuwa Tembo wanazidi kupungua kila mwaka kutokana na kuwepo kwa soko la biashara ya pembe za ndovu katika nchi za ughaibuni.

Takwimu zinaonyesha kuwa tangu mwaka 1980 zaidi ya Tembo elfu 70 wameuawa na majangili katika hifadhi mbalimbali za wanayamapori hapa nchini.

Na takwimu za shirika la...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Nchi za Afrika zatakiwa kuwapa nafasi vijana

RAIS wa Umoja wa Vijana wa Afrika (PYU), Francine Mayumba amewataka viongozi wa nchi barani Afrika kuwapa nafasi vijana za kufanya mambo mbalimbali ya maamuzi kutokana na umuhimu wao katika jamii.

 

10 years ago

StarTV

Ujerumani yaahidi kushirikiana na nchi za Afrika.

Na Ramadhani Mvungi

Arusha.

Rais wa Ujerumani Joachim Gauck ameahidi taifa lake kuendelea kushirikiana na Nchi za kiafrika katika nyanja mbalimbali ikiwemo kusaidia kukuza mifumo ya uimarishaji wa haki za binadamu kwa kuijengea uwezo zaidi mahakama ya Afrika iliyopo Jijini Arusha.

 

Ametoa mwito pia kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendeleza utashi wa kukuza utengamano wenye maslahi kwa wananchi.

 

Katika ziara yake jijini Arusha Rais Joachim Gauck akiwa kwenye mahakama ya Afrika ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali, sekta binafsi zatakiwa kushirikiana

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais Utekelezaji wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Omari Issa amesema kuna umuhimu wa kuongeza ushirikiano baina ya Serikali na sekta binafsi ili kukuza kampuni kubwa zenye ufanisi.

 

9 years ago

Habarileo

Tume za uchaguzi EAC zatakiwa kushirikiana

TUME za uchaguzi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), zimetakiwa kushirikiana na hivyo kutoa ushirikiano kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA NA SAUDI ARABIA KUSHIRIKIANA KATIKA UHIFADHI WANYAMAPORI

Ujumbe wa Serikali ya Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (Mb) katika mazungumzo na Mwana wa Mfalme wa Saudia Prince Bandar bin Saud bin Mohammad Al-Saud ambaye pia ni Rais wa Mamlaka ya Wanyamapori ya Saudi Arabia. Wengine katika picha kutoka kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhem Meru; Balozi wa Tanzania Saudi Arabia Prof. Abdillah Omari; Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. James Lembeli; Waziri...

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya TOR: Mbinu mpya ya kupambana na ujangili wa wanyamapori

Ujangili wa wanyamapori umekuwa tatizo sugu Tanzania. Ujangili huo umepunguza idadi ya tembo nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nchi za Ulaya zatakiwa kuokoa wahamiaji

Naibu waziri wa ulinzi nchini Ugiriki amezitaka nchi za kaskazini mwa bara Ulaya kuwaokoa wahamiaji kutoka baharini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Nchi zatakiwa kukabili mabadiliko tabianchi

NCHI zinazoendelea zimetakiwa kuongeza rasilimali fedha za hali ya hewa tofauti na fedha za Msaada wa Maendeleo rasmi ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Hayo yalisemwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani