Ujerumani yaahidi kushirikiana na nchi za Afrika.
Na Ramadhani Mvungi
Arusha.
Rais wa Ujerumani Joachim Gauck ameahidi taifa lake kuendelea kushirikiana na Nchi za kiafrika katika nyanja mbalimbali ikiwemo kusaidia kukuza mifumo ya uimarishaji wa haki za binadamu kwa kuijengea uwezo zaidi mahakama ya Afrika iliyopo Jijini Arusha.
Ametoa mwito pia kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendeleza utashi wa kukuza utengamano wenye maslahi kwa wananchi.
Katika ziara yake jijini Arusha Rais Joachim Gauck akiwa kwenye mahakama ya Afrika ya...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV23 Nov
Nchi za Afrika zatakiwa kushirikiana kuukabiliana na Ujangili Wa Wanyamapori
Serikali imesema nchi zilizo bara la Afrika hazina budi kushirikiana kukabiliana na wimbi kubwa la ujangili wa wanyamapori kutokana na kuendelea kuuawa kwa wanyama kama tembo na Faru.
Takwimu zinaonyesha kuwa Tembo wanazidi kupungua kila mwaka kutokana na kuwepo kwa soko la biashara ya pembe za ndovu katika nchi za ughaibuni.
Takwimu zinaonyesha kuwa tangu mwaka 1980 zaidi ya Tembo elfu 70 wameuawa na majangili katika hifadhi mbalimbali za wanayamapori hapa nchini.
Na takwimu za shirika la...
10 years ago
BBCSwahili14 Apr
Wakimbizi:UNHCR yaahidi kushirikiana na Kenya
10 years ago
Habarileo18 Jul
Ufaransa yaahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania
BALOZI wa Ufaransa nchini, Melika Berak amesema kwamba taifa lake litaendeleza ushirikiano mzuri ilionao na Tanzania kwa manufaa ya pande zote mbili.
10 years ago
Dewji Blog03 Mar
MCT yaahidi kushirikiana na chama cha mablogger Tanzania (TBN)
Baadhi ya bloggers wakipiga picha ya ukumbusho na mgeni rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mkajanga (wa tano kulia) katika hafla ya kihistoria ya TBN iliyokutanisha bloggers kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania bara na Visiwani.
![Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini, Muhidin Issa Michuzi (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika juzi Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_0085.jpg)
Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini, Muhidin Issa Michuzi (wa kwanza kulia) akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika juzi Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.
![Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Simu ya Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa ambao ndio walikuwa wadhamini wakuu wa hafla ya TBN, akizungumza machache katika hafla hiyo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_0070.jpg)
11 years ago
Michuzi24 Jun
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Eig7fVUfwCs/XllI-dk79RI/AAAAAAALf9Y/DrYHneH9bo4v_sS6QT56B7DLhXiQJLv8QCLcBGAsYHQ/s72-c/299df1cd-92d7-4ce8-a11b-d451a8103386.jpg)
TANZANIA KUSHIRIKIANA NA UJERUMANI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI SEKTA YA UHIFADHI WA MALIASILIA NCHINI
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana na Ujerumani katika kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya uhifadhi wa maliasili hapa nchini kwa lengo la kuiimarisha na kuiendeleza sekta hiyo.
Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua miradi ya uhifadhi inayofadhiliwa na serikali ya Ujerumani katika Hifadhi ya Taifa Nyerere - Selous.
Akiwa ameambatana na Mwakilishi wa Kansela wa...
11 years ago
Mwananchi09 Feb
TFF yaahidi kujenga vituo vya soka 169 nchi nzima
9 years ago
BBCSwahili03 Dec
Uchina yaahidi $6.5bn kwa Afrika Kusini