Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakimbizi:UNHCR yaahidi kushirikiana na Kenya

Shirika linalosimamia wakimbizi UNHCR liko tayari kushirikiana na Kenya kuhakikisha usalama katika kambi ya wakimbizi ya Dadaab

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

UNHCR yamshukuru JK kuhifadhi wakimbizi

Mkurugenzi Mkuu wa UNHCR, Antonio GuterresSHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi Duniani (UNHCR), limesema kuwa Tanzania imekuwa kimbilio salama la wakimbizi kwa sababu ni nchi salama, tulivu, yenye uhusiano mzuri wa kijamii na inayoongozwa na sera nzuri na za kibinadamu.

 

10 years ago

BBCSwahili

UNHCR yahamasisha wakimbizi kutambuliwa

Shirika la Wakimbizi duniani UNHCR linazindua Kampeni ya kuwapa haki za msingi Wakimbizi

 

9 years ago

BBCSwahili

UNHCR yataka wakimbizi kushughulikiwa

Umoja wa mataifa umeelezea masikitiko jinsi mataifa ya bara Ulaya yanavyozingatia sheria zinazohusiana na mipaka yake

 

9 years ago

BBCSwahili

UNHCR yaonya kuhusu ongezeko la wakimbizi

UNHCR imesema idadi ya wakimbizi wanaolazimishwa kuondoka makwao kwa sababu ya vita imeongezeka sana mwaka huu.

 

9 years ago

BBCSwahili

UNHCR yapata dola milioni 6 za wakimbizi

Umoja wa mataifa umetangaza msaada wa dola milioni 6 kama msaada wa kibidamu kwa wale wanaokimbia mzozo nchini Yemen

 

10 years ago

Vijimambo

UNHCR yakwamua maisha ya malaki ya wakimbizi Burundi

Mama Furaha akipika katika nyumba ya rafiki yyake Cady ambaye aliwakaribisha nyumbani mwake.© UNHCR/A.Nijimbere
Maisha baada ya kuishi ukimbizini huhitaji msaada mkubwa katika nyanja zote za uchumi, kijamii na hata kisaikolojia! Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Kenya limejikita kusaidia wakimbizi katika kustawisha maisha yao ambapo huanza kwa makazi.
Akizungumza wakati wa mahojiano na Joseph Msami wa idhaa hii mwakilishi mkazi wa UNCHCR nchini Burundi Abel...

 

10 years ago

Michuzi

UFINYU WA BAJETI WAATHIRI MISAADA KWA WAKIMBIZI-UNHCR

Na Mwandishi Maalum, New York


Shirika la Umoja wa Mataifa  linalohudumia wakimbizi ( UNHCR) linakabiliwa na upungufu mkubwa wa raslimali fedha kiasi cha kuathiri utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wakimbizi  wanaoendelea kuongezeka kila  mwaka.

Hayo yameelewa siku ya  jumatano  na  Kamishna Mkuu wa UNHCR, Bw. Antonio Guterres wakati alipokuwa akiwasilisha taarifa  ya  Shirika hilo mbele ya  wajumbe wa Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la  Umoja wa Mataifa.

Katika taarifa  yake hiyo ambayo...

 

9 years ago

StarTV

Serikali, UNHCR kuendelea kuwahifadhi Wakimbizi Waliopo Tanzania

Serikali ya Tanzania imesema itashirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR kuhakikisha inalinda na kuwahifadhi wakimbizi waliopo hapa nchini hadi watakapokuwa tayari kurejea kwa hiari katika nchi zao.

 Katika ziara ya kiserikali mkoani Kigoma, Waziri mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa ametembelea baadhi ya kambi zinazohifadhi wakimbizi wa Burundi na Jamhuri ya watu wa Kongo akisema Serikali inatambua maridhiano ya umoja wa mataifa  katika kuwahifadhi...

 

11 years ago

Michuzi

UNHCR WAKABIDHI GARI MPYA KWA AJILI YA IDARA YA WAKIMBIZI NCHINI.

 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Mathias Chikawe (kushoto) akipokea ufungua wa gari kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR), Bi. Joyce Mends-Cole. Gari hiyo ambayo ni mpya aina ya Toyota Land Cruiser imetolewa na Shirika hilo kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kiutendaji zifanywazo na Idara ya Wakimbizi nchini iliyopo ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Tukio la makabidhiano hayo lilifanyika katika ofisi za wizara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani