Ukosefu wa ajira kwa vijana watishia amani ya nchi
Waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga uchumi Dr Husein Ali Mwinyi amesema miongoni mwa matatizo makubwa yanayoikabili nchi ni ukosefu wa ajira kwa vijana jambo ambalo linahitaji mikakati imara na mipango thabiti ya ushirikiano itakayopelekea kuwanusuru vijana kujiingiza katika vitendo viovu kwa kuwajengea misingi ya ajira.
Anasema kuzisaidia jumuiya za kiraia zenye malengo ya kuwakusanya vijana na kuwapatia stadi za kiuchumi na ajira ni hatua muhimu kwa viongozi na wadau wengine kuwajibika...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 May
Ukosefu wa soko watishia kilimo cha mwani
10 years ago
Dewji Blog13 Jan
Ukosefu wa kazi kwa vijana ni janga la dunia
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan akionyesha gazeti la “Tuwasiliane” linalochapishwa na UTPC na kusambazwa kwa wadau na maeneo mbalimbali ya jijini Mwanza kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyetembelea makao ya ofisi hizo kwa ajili ya mazungumzo na kuboresha ushirikiano baina ya Umoja wa Mataifa Umoja huo wa vilabu vya waandishi wa...
11 years ago
Mwananchi15 Feb
Ukosefu wa maadili tatizo sugu kwa vijana
9 years ago
Bongo521 Oct
Majuto awataka vijana kwenda Hijja, adai nchi itakuwa na amani
11 years ago
Mwananchi01 Feb
Ukosefu wa ajira kwa vijana bomu linalosubiri kulipuka
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/DSC_04991.jpg)
UKOSEFU WA KAZI KWA VIJANA NI JANGA LA DUNIA
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Ukosefu wa ajira kwa vijana nchini, nini suluhisho lake?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HH5EPnzPgDI6rfx5MBbMdWnGgAhDSfHC*NpQbjRYbBt1sTZeWrXItwtV4dJsMd1x85Ul0iaorAxDVqWanU-lWHc02LGhcIMQ/1427.jpg?width=650)
KIBITI: UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA ULIVYOTENGENEZA ‘BOMU’
11 years ago
Bongo512 Aug
Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza