Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukosefu wa kazi kwa vijana ni janga la dunia

DSC_0499

Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan akionyesha gazeti la “Tuwasiliane” linalochapishwa na UTPC na kusambazwa kwa wadau na maeneo mbalimbali ya jijini Mwanza kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez  aliyetembelea makao ya ofisi hizo kwa ajili ya mazungumzo na kuboresha ushirikiano baina ya Umoja wa Mataifa Umoja huo wa vilabu vya waandishi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UKOSEFU WA KAZI KWA VIJANA NI JANGA LA DUNIA‏

Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan akionyesha gazeti la "Tuwasiliane" linalochapishwa na UTPC na kusambazwa kwa wadau na maeneo mbalimbali ya jijini Mwanza kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyetembelea makao ya ofisi hizo kwa ajili ya mazungumzo na kuboresha ushirikiano...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa maadili tatizo sugu kwa vijana

>Maadili ni hatua muhimu ambayo humtambulisha binadamu ndani ya jamii yake. Katika hali ya kawaida maadili hujitokeza katika matendo, kwa vile ndicho kielelezo sahihi cha kupima maadili ya jamii fulani.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa ajira kwa vijana bomu linalosubiri kulipuka

Ukosefu wa ajira ndiyo kilio kikubwa cha wahitimu wengi wa vyuo vikuu nchini. Wengi wanapomaliza vyuo huwa wanatarajia kupata kazi nzuri, lakini kinyume na matarajio yao wanaendelea kusota mitaani bila kazi.

 

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa ajira  kwa vijana watishia amani ya nchi

Waziri wa ulinzi na Jeshi la kujenga uchumi Dr Husein Ali Mwinyi  amesema miongoni mwa matatizo makubwa yanayoikabili nchi ni ukosefu wa ajira kwa vijana jambo ambalo linahitaji mikakati imara na mipango thabiti ya ushirikiano itakayopelekea kuwanusuru vijana kujiingiza katika vitendo viovu kwa kuwajengea misingi ya ajira.

Anasema kuzisaidia jumuiya za kiraia zenye malengo ya kuwakusanya vijana na kuwapatia stadi za kiuchumi na ajira ni hatua muhimu kwa viongozi na wadau wengine kuwajibika...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa ajira kwa vijana nchini, nini suluhisho lake?

Mara kadhaa, watu wa kada mbalimbali wakizungumzia tatizo la ajira nchini, baadhi ya viongozi wa serikali huwakejeli na kudai kuwa hawana hoja za msingi.

 

10 years ago

GPL

KIBITI: UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA ULIVYOTENGENEZA ‘BOMU’

Mheshimiwa Abdul Jabiri Marombwa stori: Hashim Aziz
Rufiji ni moja kati ya wilaya sita za Mkoa wa Pwani ambayo ndani yake, kunapatikana Jimbo la Uchaguzi la Kibiti linaloongozwa na Mheshimiwa Abdul Jabiri Marombwa (54), kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa upande wa Kaskazini, Wilaya ya Rufiji na Mkuranga, upande wa Mashariki kuna Bahari ya Hindi, Kusini kuna Mkoa wa Lindi na upande wa Magharibi, inapakana na Mkoa wa...

 

11 years ago

Bongo5

Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza

Miaka 15 iliyopita, Umoja wa Mataifa uliitangaza August 12 kila mwaka, kuwa ‘Siku ya Vijana Duniani’ ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema ‘Vijana na Afya ya Akili’. Kwa mujibu wa andiko kutoka Umoja wa Mataifa, asilimia 20 ya vijana duniani kote hupata tatizo linalohusiana na afya ya akili kila mwaka. Hatari zaidi hutokea katika […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Corona Virus:Dunia lazima ijiandae kwa janga, WHO yasema

Lakini shirika la afya la Umoja wa mataifa linasema mlipuko wa virusi vya corona ubado haujafikia kiwango cha kuitwa janga.

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WATAKIWA KUJITUMA NA KUFANYA KAZI KWA KWA MAENDELEO YAO

Ndugu Elly David Akitoa Mada Kuhusu Vijana kujituma na kufanya kazi kwa Bidii Kwa maendeleo ya taifa.Mtoa Mada huyo amesema kutokana na Ukosefu wa ajira hususani kwa vijana ni vyeme vijana kujituma na kuwa wabunifu na waweze kujiajiri kwa lengo la Kupambana katika Maisha.Katika Kongamano hilo la Vijana lililofanyika Jijini dar es salaam Liliwapa Fursa vijana kueleza Changamoto zinazowakabili na namna ya Kuzikabili.Kongamano hilo lililoandaliwa na Elly David mara baada ya ya kuona changamoto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani