Corona Virus:Dunia lazima ijiandae kwa janga, WHO yasema
Lakini shirika la afya la Umoja wa mataifa linasema mlipuko wa virusi vya corona ubado haujafikia kiwango cha kuitwa janga.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pXfvHhdB2cM/Xr170JqlygI/AAAAAAALqP4/_sDNBrIHHV0EmcI55l3ymRF6xWGBdlmDACLcBGAsYHQ/s72-c/2725f3cd-041e-48b2-883c-5ac3d074d347.jpg)
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Muuguzi wa wagonjwa wa corona ambaye huenda akarejeshwa kwao kwa lazima.
10 years ago
Dewji Blog13 Jan
Ukosefu wa kazi kwa vijana ni janga la dunia
Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan akionyesha gazeti la “Tuwasiliane” linalochapishwa na UTPC na kusambazwa kwa wadau na maeneo mbalimbali ya jijini Mwanza kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez aliyetembelea makao ya ofisi hizo kwa ajili ya mazungumzo na kuboresha ushirikiano baina ya Umoja wa Mataifa Umoja huo wa vilabu vya waandishi wa...
10 years ago
Habarileo02 Apr
Sumatra yasema nauli lazima zishuke
SIKU chache baada ya Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta kutaka uangaliwe uwezekano wa kushusha nauli za vyombo vya usafiri nchini, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema inatekeleza agizo hilo na kwamba nauli za daladala na mabasi ya mikoani zitashuka wakati wowote kuanzia sasa.
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/01/DSC_04991.jpg)
UKOSEFU WA KAZI KWA VIJANA NI JANGA LA DUNIA
5 years ago
BBCSwahili19 May
Virusi vya corona: Kenya yasema 'adui si Tanzania ni Corona'
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-M0uTlRh0GcI/Xs9uWwrQ8oI/AAAAAAALr0E/eSEch24cnFQDQcxr5Jtb5xvTxRNoI2EvgCLcBGAsYHQ/s72-c/EDdEGvdWwAEj_j9-660x400.jpg)
LAZIMA TUJITAFAKARI TUNATAKA KUISHI NA CORONA KWA STAILI GANI? ...TUNAJISAHAU
Na Zainab Nyamka-Michuzi TV
IKIWA zimepita siku kadhaa toka itangazwe kwamba maambukizi ya virusi vya Corona nchini kupungua, tumeanza kushuhudia Watanzania waanza kuishi maisha yale yale...
Sijui ni nani ameturoga sisi watanzania, ina maana tumeshasahau? Au tunaendelea kuamini kuwa hautatupata tena?
Kauli ya Rais Dkt.John Magufuli iheshimiwe na kutekelezwa ila tusisahau wajibu wetu kama wananchi watiifu kwake.Ni sawa maambukizi ya Corona yameoungua lakini tuendelee kujikinga kwani ugonjwa upo...
5 years ago
BBCSwahili20 May
Virusi vya Corona: Hali mbaya ya hewa inapochanganyika na janga la Corona
5 years ago
BBCSwahili20 Jun
Virusi vya corona: Jinsi wakimbizi walivyoathirka na janga la corona Afrika