Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukosefu wa ajira kwa vijana nchini, nini suluhisho lake?

Mara kadhaa, watu wa kada mbalimbali wakizungumzia tatizo la ajira nchini, baadhi ya viongozi wa serikali huwakejeli na kudai kuwa hawana hoja za msingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa ajira kwa vijana bomu linalosubiri kulipuka

Ukosefu wa ajira ndiyo kilio kikubwa cha wahitimu wengi wa vyuo vikuu nchini. Wengi wanapomaliza vyuo huwa wanatarajia kupata kazi nzuri, lakini kinyume na matarajio yao wanaendelea kusota mitaani bila kazi.

 

10 years ago

GPL

KIBITI: UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA ULIVYOTENGENEZA ‘BOMU’

Mheshimiwa Abdul Jabiri Marombwa stori: Hashim Aziz
Rufiji ni moja kati ya wilaya sita za Mkoa wa Pwani ambayo ndani yake, kunapatikana Jimbo la Uchaguzi la Kibiti linaloongozwa na Mheshimiwa Abdul Jabiri Marombwa (54), kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa upande wa Kaskazini, Wilaya ya Rufiji na Mkuranga, upande wa Mashariki kuna Bahari ya Hindi, Kusini kuna Mkoa wa Lindi na upande wa Magharibi, inapakana na Mkoa wa...

 

11 years ago

Bongo5

Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza

Miaka 15 iliyopita, Umoja wa Mataifa uliitangaza August 12 kila mwaka, kuwa ‘Siku ya Vijana Duniani’ ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema ‘Vijana na Afya ya Akili’. Kwa mujibu wa andiko kutoka Umoja wa Mataifa, asilimia 20 ya vijana duniani kote hupata tatizo linalohusiana na afya ya akili kila mwaka. Hatari zaidi hutokea katika […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

TISEI na suluhisho tatizo la ajira nchini

LICHA ya uchumi wa Tanzania kuelezwa kukua kwa asilimia 7.1 na kufanya vizuri katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, bado umeshindwa kutengeneza ajira zenye tija kwa nguvu inayokua kwa haraka....

 

11 years ago

Dewji Blog

Tigo yashirikiana na DTBi na COSTECH katika kukuza Teknohama na ajira kwa vijana nchini

4

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya utiliaji saini kati ya kampuni ya Tigo na kituo cha biashara ya teknohama DTBi. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Bw. Diego Gutierrez na Afisa Mtendaji Mkuu wa DTBi Eng. George Mulamula.

Tigo Tanzania leo imeingia katika ushirikiano na Dar Teknohama Business Incubator (DTBi)  ambayo itaona kampuni hiyo ya simu ikiwezesha...

 

10 years ago

GPL

ORIFLAME TANZANIA YATOA AJIRA KWA VIJANA 60,000 NCHINI- YATANGAZA BIDHAA ZAKE MPYA

 Mkurugenzi Mwandamizi wa Kampuni hiyo, Japhet Naftal (kulia), akiwapigisha makofi wanachama wa Oriflame baada ya kuzungumza nao katika hafla hiyo ya kutangaza bidhaa mpya za Kampuni hiyo iliyofanyika katika ofisi zao Dar es Salaam leo jioni zilizopo Posta Mpya ghorofa la Benjamin William Mkapa Towers Mezzanine Floor..  Meneja Mkazi wa… ...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR

 Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakijaza kwenye fomu za kutafuta ajira katika Banda la Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa Maonesho ya vijana wa vyuo ya kupata fursa ya ajira katika taasisi mbalimbali  (Careers Fair 2014) katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muhimu kulinda ajira binafsi za vijana nchini

KWA wakati huu ambapo dunia imo katika mageuzi makubwa ya kujibadilisha kuwa kijiji kimoja ni vema kukaa chini na kujiuliza, kujifunza pamoja na kuelewa nini hasa madhumuni yake. Jambo hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani