WACHEZA NA JOKA
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Simba joka la kibisa
MBIO za Ligi Kuu Tanzania bara, zimezidi kuwa chungu kwa Simba chini ya Kocha wake Mzambia, Patrick Phiri, baada ya jana kuvuna sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ngeni...
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Kama mnalitafuta joka basi huyu escrow ni yai tena moja tu!
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Wacheza kamari ya Kombe, wachezwa
10 years ago
Habarileo18 Sep
Wanakijiji wacheza muziki kushangilia umeme
WAKAZI wa kijiji cha Mbegasera wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, wameshindwa kuzuia furaha yao na kuamua kusakata muziki baada ya umeme kufika kijijini hapo na wananchi kuunganishwa kwenye nyumba zao, ambazo walilazimika kuezua sehemu ya nyasi na kuezeka kwa bati ili kufungiwa nishati hiyo.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Wajasiriamali wacheza bao wapigwa jeki
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu amekichangia Sh 500,000 kikundi cha wajasiriamali wa Mlandege mjini Iringa kinachoundwa na wacheza bao 154.
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Wafuasi CUF wacheza ‘sinema’ mahakamani
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Wacheza tenisi walemavu kuchuana Kenya
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
CCM wacheza shere Katiba mpya
VUGUVUGU la kutaka Bunge Maalum la Katiba lisitishe shughuli zake, limezidi kushamiri baada ya baadhi ya wajumbe kuanza maandalizi ya kuandika barua kwa Rais Jakaya Kikwete, wakimwomba alisitishe kwa madai...
11 years ago
Habarileo09 Jan
Wacheza bao Mlandege wapewa 100,000/-
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Iringa Mjini, Mahamudu Madenge ametoa mchango wa Sh 100,000 kwa kikundi cha wacheza bao wa Mlandege. Kikundi hicho chenye wanachama 154, kina Sh 264,000 benki. Fedha hiyo inatokana na mchango wa Sh 1,000 unaotolewa kwa mwezi na kila mwanachama.