Lowassa asema kulinda amani jukumu la wote
>Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema hakuna mtu yeyote mwenye hatimiliki ya Tanzania hivyo Watanzania wote wanao wajibu wa kuilinda na kudumisha amani na utulivu uliopo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Wote waliojiandikisha kupigakura watimize jukumu hilo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-VY2tNXw2AwI/XtfulTanrsI/AAAAAAALsjE/Y0mxdMOGILInkFT2_NTXM7f-HoVGQYVjACLcBGAsYHQ/s72-c/4-3.jpg)
“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watotoâ€-BALOZI SEIF
![](https://1.bp.blogspot.com/-VY2tNXw2AwI/XtfulTanrsI/AAAAAAALsjE/Y0mxdMOGILInkFT2_NTXM7f-HoVGQYVjACLcBGAsYHQ/s640/4-3.jpg)
kinachohusu masuala ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Mwenyekiti na
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mhina,
Walipomtembelea Ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/6-2.jpg)
Mwenyekiti na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu
Mathew Mhina, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti, wa Tume ya Haki za Biadamu
na Utawala Bora, Mohamedi Khamis Hamadi, wakati wa ziara yake...
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Kampeni zizingatie kulinda amani
KESHO ndio mwanzo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ambapo mbali na wagombea urais, pia wagombea wa ubunge na udiwani wataanza kujinadi na kuomba ridhaa ya wananchi kuwa viongozi wao.
Ni siku 64 za vumbi kutimka kila kona ya nchi yetu huku kwa mara nyingine taifa hili la pili kwa ukubwa kiuchumi; la kwanza kwa ukubwa wa eneo na wingi wa watu Afrika Mashariki, likishuhudia kutekelezwa kwa demokrasia ya kuchaguana.
Kwa kawaida kwa nchi nyingi za Kiafrika, kipindi kama...
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Waislamu watakiwa kulinda amani
![Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Mohamed-Gharib-Bilal.jpg)
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal
MANENO SELANYIKA NA ASIFIWE GEORGE
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Waislamu kote nchini kuhakikisha wanadumisha amani na umoja.
Mbali na kutoa wito huo, Dk. Bilal alilaani mauaji yaliyotokea nchini Palestina na kuwataka viongozi wote duniani kukaa na kujadili namna ya kurejesha amani hiyo.
Kauli hiyo aliitoa jana kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban Simba, katika ibada maalumu ya Sikukuu ya Idd El Fitri,...
10 years ago
Habarileo11 Dec
Ataka vyama kulinda amani
VIONGOZI wa vyama vya siasa wametakiwa kulinda amani ya nchi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kwa kufanya kampeni za amani.
10 years ago
Habarileo10 Dec
Watanzania waaswa kulinda amani
RAIS Jakaya Kikwete ameongoza Watanzania katika kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, huku msisitizo katika sherehe hizo ukiwa ni kuwataka kutokubali kurubuniwa na kuharibu amani iliyopo na badala yake waidumishe na kujituma.
10 years ago
BBCSwahili17 Jan
Mali:Mwanajeshi wa kulinda amani auawa.
10 years ago
Habarileo01 Mar
Watanzania watakiwa kulinda amani, utulivu
WATANZANIA wametakiwa kulinda amani ya nchi kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo ili kuliletea taifa maendeleo.
10 years ago
BBCSwahili17 Aug
Mali:Wanajeshi 2 wa kulinda amani wauawa