Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wote waliojiandikisha kupigakura watimize jukumu hilo

Tangu Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilipotangaza kuandikisha upya wapigakura katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, tumetekeleza jukumu la kuwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa asema kulinda amani jukumu la wote

>Waziri mkuu mstaafu, Edward Lowassa  amesema hakuna mtu yeyote mwenye hatimiliki ya  Tanzania hivyo Watanzania wote wanao wajibu wa  kuilinda na kudumisha amani na utulivu uliopo.

 

10 years ago

Habarileo

Mwandosya ataka wengi wajiandikishe kupigakura

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark MwandosyaWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya amesema wingi wa wadhamini wanaojitokeza kudhamini wanaCCM wanaowania kuteuliwa na chama chao kupeperusha bendera katika Uchaguzi Mkuu ujao, wahamasishwe pia kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura.

 

9 years ago

Vijimambo

JUMLA YA WATU 526,006 MKOANI IRINGA KUPIGAKURA UCHAGUZI MKUU

Kaimu wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Selemani Mzee (katikati) ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kilolo akifungua mdahalo wa wazi juu ya amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu unaofanyika katika ukumbi wa chuo Kikuu Huria (OUT)mjini Iringa. Kutoka kushoto walioketi na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilolo Martin Mlwafu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa ACP Ramadhani Mungi, Mwenyekiti wa ICISO Alexander Kisinini na Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Iringa, Wilfred Myuyu. Mdahalo huo...

 

10 years ago

Michuzi

FILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO

Mbunge  Filikunjombe  akisisitiza  jambo  wakati  akitoa  salamu  zake kwenye  mazishi ya SR. Instrude mariaKatibu mwenezi wa CCM mkoa  wa  Njombe Bw Honolatus Mgaya kushoto  na  mbunge wa Ludewa  Deo Filikunjombe  kulia  wakishirikiana na wananchi  wa  Njombe  kubeba jeneza na SR. Maria.  Mbunge  Filikunjombe katika usikivu mkubwa
 Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili...

 

5 years ago

Michuzi

MADEREVA BODABODA KARATU WATAKIWA KUACHA MABINTI WASOME, WATIMIZE NDOTO ZAO


Na Woinde Shizza,KARATU

MADEREVA bodaboda wametakiwa  kujali mabinti, kwa kuwaacha wasome ili watimize ndoto zao  na si kuwalaghai kwa kuwapa lifti pamoja na  chipsi kwa wanapofanya hivyo wanawaharibia ndoto zao .

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Theresia Mahongo alipokuwa akihutubia katika mdahalo juu ya kupinga ukatili wa kijinsia katika uwanja wa Mnadani wilayani Karatu,mdahalo ulioandaliwa Shirika la World Education Initiative (WEI) Bantwana; waache wasome ambalo lipo chini ya...

 

10 years ago

GPL

FILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO‏

Mbunge  wa  Ludewa  Deo  Filikunjombe  akiteta  jambo na askofu  wa kanisa  Katoliki  jimbo la Njombe Mhashamu Alfred  Maluma Mbunge  Filikunjombe  akisisitiza  jambo  wakati  akitoa  salamu  zake kwenye  mazishi ya SR. Instrude maria
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini
kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge...

 

9 years ago

Mtanzania

Waliojiandikisha zaidi ya mara moja kikaangoni

BVRNa Aziza Masoud, Dar es Salaam

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema majina ya watu waliojiandikisha zaidi  ya mara moja  katika Daftari la Wapigakura, yamekabidhiwa kwa vyombo vya dola ili taratibu za kisheria zifuatwe ikiwamo kuwapeleka mahakamani.

Akizungumza katika kituo cha uchakatuaji (maandalizi) wa vitambulisho vya wapigakura jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Ramadhani Kailima, alisema sheria inawataka watakaotiwa hatihani kutumikia kifungo au kulipa...

 

10 years ago

StarTV

CCM kuwashughulikia waliojiandikisha zaidi ya mara moja.

Na Sudi Shaabani, Mwanza.

Chama cha Mapinduzi CCM kimeahidi kuwachukulia hatua za kisheria wale wote watakaobainika kuwa wamejiandikisha zaidi ya mara mbili katika daftari la mkazi hali iliyosababisha zoezi la uandikishaji kutofikia malengo yake kwa asilimia mia.

 

Mpaka sasa CCM wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza kimewabaini watu kadhaa ambao wamehusika na tukio hilo maarufu kama mamluki na tayari wamefikishwa mahakamani kwa hatua za kisheria.

 

Zoezi la uandikishaji katika daftari la mkazi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waliojiandikisha zaidi ya mara moja katika daftari la wapiga kura kuchuliwa za kisheria

1.

Mkuu wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Sisti Cariah (katikati) akiwaonyesha waandishi wa habari utaratibu wa uhifadhi wa fomu za taarifa za wananchi waliojiandisha katika daftari la kudumu la wapiga kura, jana Alhamisi (Agosti 27, 2015)Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Kombwey.

2.

Afisa TEHAMA katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyelo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani