FILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akiteta jambo na askofu wa kanisa Katoliki jimbo la Njombe Mhashamu Alfred Maluma Mbunge Filikunjombe akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake kwenye mazishi ya SR. Instrude maria Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili...
10 years ago
GPLWAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi CUF waaswa kutekeleza ahadi zao.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi amewataka viongozi wa chama hicho kujenga utamaduni wa kutekeleza ahadi wanazotoa na kuacha tabia ya kuahidi mambo wasiyoyaweza kuyatekeleza kwani ndio chanzo cha migogoro kati yao na wananchi.
Anasema viongozi hutumia fursa za kampeni za kutaka uongozi kwa kutoa ahadi nyingi ambazo wanashindwa kuzitekeleza ipasavyo hali inayochangia wananchi kutokuwa na imani na viongozi hao.
loans online sc ...
9 years ago
StarTV13 Nov
Wakazi Bariadi waaswa kuvumilia viongozi waliowachagua katika kutekeleza ahadi zao.
Wakazi wa wilayani Bariadi mkoani Simiyu waaswa kuwa na subira katika utekelezaji wa ahadi za viongozi waliochaguliwa kwa sababu haziwezi kutekelezwa kwa wakati mmoja bali kwa mpangilio maalumu na kuzingatia vipaumbele vya wananchi.
Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Bariadi Bi. Juliana Mahongo katika kikao wadau wa maendeleo kilicholenga kumpongeza Rais John Pombe Magufuri kwa ushindi.
Bi. Mahongo amesema anaimani kubwa na viongozi waliochaguliwa kupitia...
10 years ago
Habarileo07 Feb
Bilal ataka viongozi wa dini kuombea taifa amani
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Bilal amewataka viongozi na waumini wa dini zote nchini, kuombea taifa ili Uchaguzi Mkuu na kura ya maoni kwa ajili ya Kkatiba Inayopendekezwa zimalizike kwa amani na utulivu.
10 years ago
Mwananchi07 Apr
Askofu ataka viongozi wa dini waache upambe kwa wagombea
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/2a1.jpg)
DEO FILIKUNJOMBE AANDAA SEMINA KWA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/DSC_05751.jpg)
MO ATAKA MADHEBEBU YA DINI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI ILI KULETA MAENDELEO ENDELEVU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fYfFlYyWJ78/Xmey9N_Q76I/AAAAAAALie4/OvY-1_C0c40YczbRSUou36U5jJTL15T4ACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_0002.jpg)
MADEREVA BODABODA KARATU WATAKIWA KUACHA MABINTI WASOME, WATIMIZE NDOTO ZAO
Na Woinde Shizza,KARATU
MADEREVA bodaboda wametakiwa kujali mabinti, kwa kuwaacha wasome ili watimize ndoto zao na si kuwalaghai kwa kuwapa lifti pamoja na chipsi kwa wanapofanya hivyo wanawaharibia ndoto zao .
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Theresia Mahongo alipokuwa akihutubia katika mdahalo juu ya kupinga ukatili wa kijinsia katika uwanja wa Mnadani wilayani Karatu,mdahalo ulioandaliwa Shirika la World Education Initiative (WEI) Bantwana; waache wasome ambalo lipo chini ya...