Wakazi Bariadi waaswa kuvumilia viongozi waliowachagua katika kutekeleza ahadi zao.
Wakazi wa wilayani Bariadi mkoani Simiyu waaswa kuwa na subira katika utekelezaji wa ahadi za viongozi waliochaguliwa kwa sababu haziwezi kutekelezwa kwa wakati mmoja bali kwa mpangilio maalumu na kuzingatia vipaumbele vya wananchi.
Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Bariadi Bi. Juliana Mahongo katika kikao wadau wa maendeleo kilicholenga kumpongeza Rais John Pombe Magufuri kwa ushindi.
Bi. Mahongo amesema anaimani kubwa na viongozi waliochaguliwa kupitia...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV05 Jan
Viongozi CUF waaswa kutekeleza ahadi zao.
Na Abdalla Pandu,
Zanzibar.
Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi amewataka viongozi wa chama hicho kujenga utamaduni wa kutekeleza ahadi wanazotoa na kuacha tabia ya kuahidi mambo wasiyoyaweza kuyatekeleza kwani ndio chanzo cha migogoro kati yao na wananchi.
Anasema viongozi hutumia fursa za kampeni za kutaka uongozi kwa kutoa ahadi nyingi ambazo wanashindwa kuzitekeleza ipasavyo hali inayochangia wananchi kutokuwa na imani na viongozi hao.
loans online sc ...
10 years ago
MichuziFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili...
10 years ago
GPLFILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO
10 years ago
VijimamboMBUNGE WA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD AENDELEA KUTEKELEZA AHADI ZAKE KATIKA KATA MBALIMBALI
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood Akitoa maagizo kwa Mtendaji wa Kata ya Konga Kutafuta Eneo la Ujenzi wa Shule Hiyo haraka Iwezekanavyo.Mh Abood amemuagiza Mtendaji huyo ndani ya mweziMmmoja wa amepata Eneo la Ujenzi wa Shule na...
9 years ago
Habarileo19 Aug
Wakazi Bariadi wahofu kushambuliwa na fisi
WAKAZI wengi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, mkoani Simiyu, wameingiwa na hofu baada ya kuwepo kwa matukio mfululizo ya watu kushambuliwa na fisi hadi kufa katika maeneo mbalimbali mjini hapa.
11 years ago
Habarileo06 Jun
Wahisani waanza kutekeleza ahadi
KILIO cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya wahisani kukubali kutoa fedha hizo kabla la Juni 30, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo31 Jul
Azan ajigamba kutekeleza ahadi
MBUNGE wa Kinondoni, Idd Azzan amewaomba wana CCM kumpigia kura ya maoni, kupeperusha bendera ya chama hicho kwa mara ya tatu alete maendeleo.
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kagasheki akumbushwa kutekeleza ahadi
SERIKALI imekumbushwa kutekeleza ahadi yake ya kuwadhamini watu 100 wakiwamo askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupanda Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 52...
10 years ago
Habarileo10 Aug
JK: Sifa yangu ni kutekeleza ahadi
HUKU akikaribia kukabidhi madaraka kwa Rais wa Awamu ya Tano baadaye mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya sifa yake na ya chama tawala, CCM, ni kutekeleza ahadi walizowaahidi Watanzania wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010.