Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Bariadi wahofu kushambuliwa na fisi

WAKAZI wengi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, mkoani Simiyu, wameingiwa na hofu baada ya kuwepo kwa matukio mfululizo ya watu kushambuliwa na fisi hadi kufa katika maeneo mbalimbali mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MTOTO AMEAGA DUNI KWA KUSHAMBULIWA NA FISI

SALVATORY NTANDUWazazi na Walezi Mkoani Shinyanga wametakiwa kuchukua tahadhari kwa watoto wao dhidi ya  wanyama aina ya Fisi ambao wamekuwa wakionekana katika maeneo mbalimbali  na kusababisha madhara kwao ikiwemo ya vifo.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba June 2 wakati akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na tukio la kushambuliwa  hadi kufariki dunia kwa mtoto wa miaka miwili na nusu  aliyehamika kwa jina la Charles Christian katika...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi Bariadi waaswa kuvumilia viongozi waliowachagua katika kutekeleza ahadi zao.

 

Wakazi wa wilayani Bariadi mkoani Simiyu waaswa kuwa na subira katika utekelezaji wa ahadi za viongozi waliochaguliwa kwa sababu haziwezi kutekelezwa kwa wakati mmoja bali kwa mpangilio maalumu na kuzingatia vipaumbele vya wananchi.

Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Bariadi Bi.  Juliana Mahongo katika kikao wadau wa maendeleo kilicholenga kumpongeza Rais John Pombe Magufuri kwa ushindi.

Bi. Mahongo amesema anaimani kubwa na viongozi waliochaguliwa kupitia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wahofu Katiba kutowatambua

KUNDI la wafugaji nchini wameeleza hofu ya maisha yao kutokana na rasimu ya pili ya Katiba kutokuwa na vipengele vinavyotambua uhalali wao wa kuishi na shughuli wanazofanya. Akizungumza na Tanzania...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kigoma wahofu homa ya ebola

HOFU ya kuenea kwa kasi ugonjwa hatari wa ebola imeendelea hasa mkoani Kigoma ambao uko mpakani baada ya taarifa kuwa umeishaingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambayo inapakana. Akizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahofu tija kwa wateule wapya

Baadhi ya wadau wa sekta za kilimo, mifugo na mazingira wameeleza wasiwasi wao iwapo mawaziri wapya katika sekta hizo wataweza kumudu changamoto zilizopo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe wahofu Bunge kuchelewa kumaliza kazi

Baadhi wa wajumbe wa Bunge la Katiba wamesema hakuna dhamira ya dhati ya kupatikana Katiba mpya ndani ya viongozi wa CCM kutokana na Bunge hilo hadi jana, kutumia siku 36 bila kuanza kujadili Rasimu.

 

11 years ago

Habarileo

Uhamiaji Kigoma wahofu kupatikana viongozi wasio raia

IDARA ya Uhamiaji mkoani Kigoma imeeleza wasiwasi wa nchi kuingia kwenye mtego wa kuchagua viongozi wasio raia kutokana na madai ya kuwepo viongozi wanaohifadhi wahamiaji haramu na kuwaajiri.

 

10 years ago

GPL

FISI HAACHIWI BUCHA

He he he heeee, acha nicheke miye mwana Kibatari mjukuu ya Kandili, unajua vitu vingine vinachekesha kama si kusikitisha, unalalamika mwanamke mzima uliyekamilika tena bila aibu eti mfanyakazi wako wa ndani anakulia mali zako kwa mumeo kuhamishia mapenzi kwake! Unajua kauli hiyo hunifanya nikumbuke ile kauli isemayo mpambe awe mwenye mali na mwenye mali aonekane mpambe. Ooh, nilikuja na kasi ya ajabu na miye bila salamu kwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msako wa fisi Geita waanza

IDARA ya Maliasili na Utalii Wilaya za nyang’hwale na Geita kupitia kitengo cha wanyamapori imeanza msako mkali wa kuwaua Fisi ambao siku za hivi karibuni wamegeuka tishio kwa binadamu hususani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani