Wahofu tija kwa wateule wapya
Baadhi ya wadau wa sekta za kilimo, mifugo na mazingira wameeleza wasiwasi wao iwapo mawaziri wapya katika sekta hizo wataweza kumudu changamoto zilizopo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV10 Nov
Wajumbe wateule waendelea kupinga kufutwa kwa matokeo Uchaguzi  Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wateule Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) wamesema hawapo tayari kurudia Uchaguzi Mkuu kwa madai ya kuwa uchaguzi uliofanyika Oktoba 25 siyo batili.
Huku wakiitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kutengua tamko la kufutwa kwa matokeo ya Uchaguzi na badala yake kutangaza matokeo ya Majimbo yote yaliyofanyika uchaguzi huo.
Abubakari Khamis Bakari ametoa tamko hilo ambalo ni azimio la wawakilishi wateule 27 kupitia chama hicho Zanzibar na kusema kuwa...
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Kamera za kuzuia uhalifu zitumike kwa tija
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Mapokezi ya JK China yana tija kwa nani?
OKTAOBA 28, 2014, kupitia gazeti la Uhuru, miongoni mwa habari zilizouza gazeti hilo kwa siku hiyo kwa maana ya kupamba ukurusa wa mbele ni habari isemayo “JK aweka historia China”...
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Ugunduzi wa gesi uwe tija kwa wananchi
WAKATI nishati ya gesi ikiendelea kupanda bei, hali hiyo imeendelea kuwa chanzo cha uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kushindwa kumudu gharama za gesi ya kupikia. Baada ya gharama...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Lengo ni kuwawezesha kufanya biashara zao kwa tija
9 years ago
Dewji Blog05 Sep
Mifumo ya biashara ya Jotoardhi ina tija kwa taifa
Naibu Kiongozi wa Timu ya Shirika linanoshughulikia masuala ya Jotoardhi Afrika Mashariki (EAGER) Bw. John Heath akiwaelimisha wadau mbalimbali wa Kampuni inashughulikia Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Wizara ya Nishati na Madin, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) pamoja na wadau wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu Mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi. Warsha inayofanyika tarehe 2- 4 Septemba, 2015 jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Jitihada zahitajika korosho kuleta tija kwa mkulima
“UZALISHAJI mkubwa wa korosho tunautegemea kutoka katika mkoa wetu wa Mtwara, hasa pale pembejeo zinapokuja kwa wakati kama hivi.” Hivyo ndivyo anavyoanza kuzungumza mkulima wa korosho katika Kijiji cha Maundo,...
11 years ago
Tanzania Daima22 Mar
Wafugaji wahofu Katiba kutowatambua
KUNDI la wafugaji nchini wameeleza hofu ya maisha yao kutokana na rasimu ya pili ya Katiba kutokuwa na vipengele vinavyotambua uhalali wao wa kuishi na shughuli wanazofanya. Akizungumza na Tanzania...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
Kigoma wahofu homa ya ebola
HOFU ya kuenea kwa kasi ugonjwa hatari wa ebola imeendelea hasa mkoani Kigoma ambao uko mpakani baada ya taarifa kuwa umeishaingia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambayo inapakana. Akizungumza...