MTOTO AMEAGA DUNI KWA KUSHAMBULIWA NA FISI
SALVATORY NTANDUWazazi na Walezi Mkoani Shinyanga wametakiwa kuchukua tahadhari kwa watoto wao dhidi ya wanyama aina ya Fisi ambao wamekuwa wakionekana katika maeneo mbalimbali na kusababisha madhara kwao ikiwemo ya vifo.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba June 2 wakati akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na tukio la kushambuliwa hadi kufariki dunia kwa mtoto wa miaka miwili na nusu aliyehamika kwa jina la Charles Christian katika...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo19 Aug
Wakazi Bariadi wahofu kushambuliwa na fisi
WAKAZI wengi wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, mkoani Simiyu, wameingiwa na hofu baada ya kuwepo kwa matukio mfululizo ya watu kushambuliwa na fisi hadi kufa katika maeneo mbalimbali mjini hapa.
10 years ago
BBCSwahili08 Aug
Babake mtoto Mpalestina aliyechomwa, ameaga
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-d1dgkVMpf6A/XtqblqFFnJI/AAAAAAAAnvc/LhvPI_4x8ikPI8TAp40aMVbMULIsOTnQwCLcBGAsYHQ/s72-c/8798e1d4-4759-481b-8e44-afb5bdd0ccfa.jpg)
MAMA MKOANI KATAVI AMEAGA DUNIA KWA KUUNGUA NA MOTO
![](https://1.bp.blogspot.com/-d1dgkVMpf6A/XtqblqFFnJI/AAAAAAAAnvc/LhvPI_4x8ikPI8TAp40aMVbMULIsOTnQwCLcBGAsYHQ/s400/8798e1d4-4759-481b-8e44-afb5bdd0ccfa.jpg)
Katika nyumba hiyo yenye vyumba tisa vya wapangaji nyumba ya bwana Visent Emanuel ambapo chanzo cha habari kilichotufikia Juni 3, 2020, Mpangaji huyo alitoka nje kujiokoa na baada ya kutoa vyombo lakini...
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Wauawa kwa kushambuliwa na kombora
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Msanii jela miaka 10 kwa kumiliki fisi
NA TWALAD SALUM, MISUNGWI
MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, imemhukumu msanii wa ngoma za asili, Mng’ahwa Kazanza (42), kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kumiliki fisi wawili na kuwatumia kwenye sanaa zake bila kibali.
Awali akisomewa mashtaka katika mahakama hiyo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Doroth Mgenyi, ilielezwa mahakamani hapo kuwa mnamo Septemba 28, mwaka huu, kwenye Kijiji cha Sisu wilayani Misungwi, majira ya saa 7:30 mchana, Mng’ahwa Kazanza (42)...
10 years ago
Habarileo29 Oct
Atimua mkewe kwa kushindwa kudhibiti fisi
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Limu Jumanne mkazi wa mkoani Singida, amemtimua na kumrejesha mkewe kwa wazazi wake akidai ni mvivu na mzembe kutokana na kushindwa kudhibiti kundi la fisi walioshambulia na kuua ndama sita wa ng’ombe akiwa machungani.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eg-hKb3a6F8/Xt9NlobYI5I/AAAAAAALtJE/zbX9hRBkuaIjnjGTJikwfmg4Y-2sr6jdwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAMANDA MUROTO ATHIBITISHA KUSHAMBULIWA KWA MWENYEKITI MBOWE
Charles James, Michuzi TV
JESHI la Polisi Mkoani Dodoma limethibitisha kushambuliwa na kujeruhiwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake jijini Dodoma.
Akizungumza na wandishi wa habari leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema taarifa za Mbowe kushambuliwa na watu wasiojulikana walizipata asubuhi ya leo kupitia kwa Mbunge wa Viti Malum wa Chama hicho.
Muroto amesema tayari Jeshi la Polisi limeshaanza kufanya uchunguzi wa...
10 years ago
Dewji Blog27 Oct
Picha za tukio la kuuwawa kwa Fisi mjini Singida ziko hapa!
![DSC01597](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01597.jpg)
![DSC01600](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01600.jpg)
![DSC01604](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/DSC01604.jpg)
10 years ago
Bongo Movies20 Jun
Baada ya Kushambuliwa kwa Kumpa Break Nuh Mziwanda, Shilole Ajibu Mapigo
Baada ya Shilole kutangaza kumpa break mwenzi wake Nuh Mziwanda kwa muda wa mwezi huu mzima, wakitarajia kuendeleza malavi davi yao baada ya kipindi hiki kitakatifu kupita, baadhi ya mashabiki ambao wanajinasibu kuijua dini wamekuwa wakimshambulia Shilole kwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa kitendo cha kutaka kumrudia tena Miziwanda bila ndoa sio sawa kwa upande wa dini na wengine kwenda mabli zaidi na kudai hata kazi yake ya sanaa ambayo humfanya kukata maouno pia haifai, kitendo...