Picha za tukio la kuuwawa kwa Fisi mjini Singida ziko hapa!
Baadhi ya askari polisi wakishiriki kumtoa Fisi ambaye alikuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida. Baadhi ya wananchi wa mji wa Singida wakishuhudia kutolewa nje Fisi aliyekuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida. Badhi ya wananchi wa mji wa Singida,wakishiriki kumuuawa Fisi aliyevamia mji wa Singida na kusababisha hofu kubwa kwa wakazi. Fisi aliyevamia Singida mjini, akiwa kwenye gari la polisi baada ya kushambuliwa na wananchi kwa silaha za...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo03 May
PICHA ZIKO HAPA WALIOJIACHIA KWENYE RED CARPET YA ZARI ALL WHITE PARTY TZ
11 years ago
Dewji Blog01 Jul
Basi la Lushanga laua mmoja na kujeruhi wawili Sengerema, Picha na habari ziko hapa!
Kijana ambaye ni dereva wa toroli la miguu minne jina lake halikuweza kupatikana mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 32 amefariki dunia papo hapo na kupasuka Kichwa baada ya kugongwa na basi la abiria lililokuwa likitokea mkoa wa Geita kuelekea jijini Mwanza kwenye makutano ya barabara ya Kamanga na Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza. Kijana huyo pia alikuwa akiendesha Pikipiki bila kuvaa “Helmet” huenda ingemsaidia asipasuke Kichwa.(Picha na Zainul Mzige).
Na MOblog,...
9 years ago
VijimamboPICHA: MAFURIKO YA LOWASSA YAENDELEA LEO MJINI SINGIDA
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
Mkazi wa Singida akutwa ameuwawa na kutupwa porini aliwa na Fisi
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka akitoa taarifa kwa vyombo vya habari (havipo pichani).
Na Nathaniel Limu, Singida
MWILI wa mkulima na mkazi wa kijiji cha Manguanjuki kata ya Mandewa tarafa ya Unyamikumi manispaa ya Singida, Iddi Alli (35), ameuawa na mtu/watu wasiojulikana na kisha baadae sehemu za mwili wake kuliwa na Fisi.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka,alisema mwili huo wa mkulima huyo umeokotwa na raia wema juzi saa 1.38...
11 years ago
Michuzitukio la kihistoria, JK apiga picha na ma-bloggers, mpiga picha ni kinana
11 years ago
GPLSEIF SHARIFF HAMAD KAZUNGUMZA LEO, KAULI ZAKE 7 KUHUSU MUUNGANO ZIKO HAPA
10 years ago
Michuzi08 Oct
ANGALIA MOJA KWA MOJA TUKIO LA MAKABIDHIANO YA RASIMU YA KATIBA HUKO MJINI DODOMA LEO
9 years ago
MichuziMAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI SINGIDA,KESHO KUUNGURUMA SINGIDA MJINI LIVE