tukio la kihistoria, JK apiga picha na ma-bloggers, mpiga picha ni kinana
![](http://2.bp.blogspot.com/-8pE-7qbNc2M/Uu_q0MbdNJI/AAAAAAAFKtg/gsyZn_s79Ig/s72-c/IMG_1080.jpg)
Mwenyekiti wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya pamoja na ma-bloggers wakubwa wa Tanzania wakati wa kiadhimisha sherehe za miaka 37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Picha hii imepigwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana hapo chini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Apr
Mpiga picha maarufu Zanzibar Javed Jafferji aonyesha picha aliyompiga marehemu Princess Diana miaka 20 iliyopita
-Javed Jaffereji is master of Photographer for many year. Javed now stay in Zanzibar
-He post he special photo and written:
“My favourite picture which I had photographed m, almost twenty years ago when I was a Paparazzi Photographer… The Late Princess Diana at her best during Royal Ascot, races …..”
Professional photographer, Javed Jafferji has journeyed the vast corners of East Africa over the last decade, capturing the essence of this prestigious and extraordinary area. His...
9 years ago
Bongo522 Oct
Picha: Khloe Kardashian naye apiga picha ya utupu kwenye cover la kitabu chake ‘Strong Looks Better Naked’ (18+)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdgOE68jtzJZoaNny-DbppooKsUZmCZhgvn16Oj4GBobuN2dmM2kftGgUlyjih7sSe9h8mMVNcOjc9Ng68mJg7VF/idris80.jpg)
IDRIS: NILIKUWA MPIGA PICHA WA LULU
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Mpiga picha na familia yake wauawa Burundi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0oA2-k-5x*29un6EHy128i5HBiVBGhTJqBFs8NbbzZrPaJxjkjzM4MGNgEolqppVoxbl7MRe7IYNS5lPCibfpyI/maxi.jpg)
MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--BgOUAPyML4/UykU8QrcZzI/AAAAAAACc5E/pZAzpsrKNZw/s72-c/New+Picture+(10).png)
PICHA ZA TUKIO LA TUZO YA MWANAMAKUKA AWARDS 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/--BgOUAPyML4/UykU8QrcZzI/AAAAAAACc5E/pZAzpsrKNZw/s1600/New+Picture+(10).png)
Bi Jane Matinde, Ofisa wa maosiano wa Airtel, akikabidhi hundi ya udhamini ya million tano, kwa mwenyekiti wa UWF, Unity Of Women Friends Bi.Mariam Shamo,mwishoni Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya Wanawake,Bi Magreth Chacha.Hafla hiyo iliofana kwa kiasi kikubwa ilifanyika kwenye kiota cha maraha cha Escape One,Mikocheni jijini Dar mwishoni mwa wiki.
![](http://2.bp.blogspot.com/-XKcO7FuvqPQ/UykS2U5br_I/AAAAAAACc4c/Ld8VW6Yt1d0/s1600/New+Picture+(5).png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-toLwYceeN9w/UykTG3pxDJI/AAAAAAACc4k/e1KI9j7Yvhk/s1600/New+Picture+(6).png)
9 years ago
BBCSwahili04 Nov
Apiga picha katikati ya mbio za magari
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Mfahamu mpiga picha maarufu Albert Manifester anayetumia kipaji chake kusaidia jamii
Albert Manifeter katika pozi..
Na Andrew Chale, modewjiblog
Duniani, kila mwanadamu amejariwa uwezo na kipawa cha kufanya kitu ambacho mwingine hawezi kukifanya kwa upande wake, iwe kwa kufundishwa ama kuzaliwa nacho, Hii pia tunaweza kuona kwa Mpiga picha maarufu nchini, Albert Manifester, ambaye amekuwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha kiasi cha kujenga jina lake katika ngazi mbalimbali ikiwemo ndani na nje ya nchi.
Hata hivyo, kupitia kipaji chake hicho, albert Manifester, Mei 24 mwaka...
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Saa mbili za mpiga picha alivyonasa kwenye moto wa ghorofa la Hoteli Dubai.. (+Video)
Mpiga picha Dennis Mallari raia wa Ufilipino alikuwa na jukumu moja tu siku ya mkesha wa mwaka mpya ndani ya Dubai… kazi yake ilikuwa kuhakikisha anapata picha kali za fataki zitakazopigwa angani usiku wa mkesha wa kuupokea mwaka 2016 katika ghorofa refu Dubai, Burj Khalifa. Kwa bahati mbaya akiwa kwenye ghorofa ya 48 jengo la Hoteli […]
The post Saa mbili za mpiga picha alivyonasa kwenye moto wa ghorofa la Hoteli Dubai.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.