Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDRIS: NILIKUWA MPIGA PICHA WA LULU

Makala: Shani Ramadhani
Leo hii kwenye Live  Chumba cha Habari tunaye mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Rashid Sultan ambaye amekuwa ndiyo habari ya mjini sasa hivi baada ya kujishindia kitita cha shilingi milioni  510 na kuahidi kurudisha nguvu zote kwa Waafrika ambao wamebadilisha maisha yake. Idris Sultan akifafanua jambo kwa wafanyakazi wa Global (hawapo pichani). Katika mahojiano na safu hii...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

tukio la kihistoria, JK apiga picha na ma-bloggers, mpiga picha ni kinana

 Mwenyekiti wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya pamoja na ma-bloggers wakubwa wa Tanzania wakati wa kiadhimisha sherehe za miaka 37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Picha hii imepigwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana hapo chini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mpiga picha maarufu Zanzibar Javed Jafferji aonyesha picha aliyompiga marehemu Princess Diana miaka 20 iliyopita

11136648_10153295745215712_8799672780772721249_n

-Javed Jaffereji  is master of Photographer  for many year. Javed  now stay  in Zanzibar

-He post he special photo and written:

“My favourite picture which I had photographed m, almost twenty years ago when I was a Paparazzi Photographer… The Late Princess Diana at her best during Royal Ascot, races …..”

Professional photographer, Javed Jafferji has journeyed the vast corners of East Africa over the last decade, capturing the essence of this prestigious and extraordinary area. His...

 

10 years ago

GPL

IDRIS AMFUNGUKIA LULU

Stori: Imelda Mtema
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu. Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan. Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa… ...

 

10 years ago

GPL

LULU AMUWAHI IDRIS

Na Erick Evarist
ACHANA na watu kibao waliojitokeza mitandaoni na kudai wana undugu na mshindi wa Shindano la Bigbrother Hotshot (2014), Idris Sultan (21), mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye mtu wa kwanza kabisa kujinadi kuwa na urafiki na mshindi huyo aliyejinyakulia zawadi ya shilingi milioni 510. Mwigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Idris. Idris ambaye alinyakua...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Ile na Lulu Sasa ni Hii ya Wema na Idris

Kweli umbea ndio unaendesha mitandao ya kijamii hapa Bongo.Baada ya ile picha ya zamani  ya muigizaji Elizabeth Michael  aka Lulu akiwa na mshindi wa BBA 2014, Idris, kupewa vichwa vya habari kuwa mwandada Lulu ameamua kujiweka au kuandaa mazingira ya kuwa karibu na mshindi huyo ili wazipukutishe DOLLAR, eti kisa Lulu aliweka picha hiyo mtandaoni nawatu bila kujiuliza mara mbili wamekuwa wa kiachia comment za ajabu ajabu.

Muda huu tena imeibuka picha hii nayo pia ni yazamani, ya muigizaji...

 

11 years ago

GPL

MSIBA! MPIGA PICHA MKONGWE WA TV AFARIKI DUNIA!

Maximilian Ngube 'Max', enzi za uhai wake. Max (kushoto), akiwa katika moja ya kazi zake enzi za uhai wake. Kulia ni mwanahabari mwenzake. Mpiga picha mkongwe wa Televisheni, Maximilian Ngube 'Max' amefariki dunia leo, Ijumaa Mei 23, 2014, jijijini Dar es salaam. Habari zilizothibitishwa na ndugu wa karibu wa marehemu zimesema kuwa msiba uko nyumbani kwa marehemu Boko, jijini Dar na mipango ya mazishi inafanyika ambapo tarehe...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mpiga picha na familia yake wauawa Burundi

Mpiga picha wa runinga ya taifa nchini Burundi, pamoja na familia yake wameuawa katika mji mkuu Bujumbura.

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Kuwa Wakwanza Kuziona Picha za Kwanza za Lulu Kwa Mwaka Huu

Mrembo na mwigizaji  wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mtandandaoni ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu kwa mwanadada huyu kufanya  “Professional Photo Shoots” chini ya manifester brand.

Jionee hapo juu picha za mrembo huyu alizopigwa akiwa maendo ya gereji.

Wengi wamezipenda, wewe je?

 

11 years ago

Bongo Movies

PICHA: Tazama picha tano (5) kali sana za mwanadada Elizabeth Michael a.k.a LULU. Utazipenda.

Picha kwa hisani ya blog ya http://www.domozege.blogspot.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani